masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,737
- 12,622
Hichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha miksa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga.
Jamaniii leo nimeshuhudia sononeko kubwa sana. Mtaa wa vifungashio ule nyuma ya pemba ni balaa mpaka vifuniko vya chemba vinaelea.
Kariakoo ni mkoa wa kikodi kwanini miundombinu ya majo taka ni mbovu kiasi hivi? Hizo kodi TRA na Serikali mnapeleka wapi ikiwa Kariakoo inanuka kinyesi?