Mpaka leo sijawahi elewa kwanini wasanii hawa hawaelewani

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,710
8,007
Wadau,

Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;

1.Diamond na Ali Kiba

2.Fid Q na Joh Makini

3.Kala pina na wasanii wote

4.Sister P na Zay B

5.Wanaume TMK na Wanaume halisi

Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?
 
Wapige mziki sisi tuburudike, wasipotaka wao wengine watatuburudisha, si umemwona Nandy? Konde boy? Zuchu ?

Sisi tunataka mziki mtam
 
Wadau,

Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;

1.Diamond na Ali Kiba

2.Fid Q na Joh Makini

3.Nomo na wasanii wote wa Hip hop

Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?

Hapo wakali ni Mond na Q hao wengine upepo wa kus ukivuma toka Clouds na hawawezi
 
Wadau,

Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;

1.Diamond na Ali Kiba

2.Fid Q na Joh Makini

3.Nomo na wasanii wote wa Hip hop

Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?
Hili la Fid Q na Joh Makin ndo nasikia leo, hebu tupe tukio linaloweza onesha hawa watu ni rivals!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…