Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao namba 2 nani kakudanganya kuwa hawaelewani?
Wadau,
Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;
1.Diamond na Ali Kiba
2.Fid Q na Joh Makini
3.Nomo na wasanii wote wa Hip hop
Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?
Boss lala banaKuna msanii anaitwa Nomo??
hata mimi nashangaa...maybe alitaka kumaanisha Domo ila typing errorKuna msanii anaitwa Nomo??
pumbavuKiba anafanya bongo flavor..Mond anafanya muziki haueleweki mnafananisha vp
Hili la Fid Q na Joh Makin ndo nasikia leo, hebu tupe tukio linaloweza onesha hawa watu ni rivals!Wadau,
Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;
1.Diamond na Ali Kiba
2.Fid Q na Joh Makini
3.Nomo na wasanii wote wa Hip hop
Au kutokuelewana kunawasaidia kimaslahi?