Mpaka leo sijaijua thamani ya 'X'

Jaribu kutumia paithogras theorem unaweza kuipata mbona ame nmeipata

Ukishindwa apo au ka hutaki shida tumia scientific calculator

Ukishindwa na apo njoo in box nikuazime yang hahahahaha hahahahaha hahahahaha

SIPENDAG UJINGA.
 
ni vizuri unapofanya kitu angalau useme umeipata wapi, huu mzigo umeukopi wote hapa. ni uungwana tu
 
Umeandika ukweli mtupu ila mtu bila kujua historia yake ni tatizo... history haitakiwi kuondolewa
 
Akili za binadamu ziko elastic zinatanuliwa na maarifa, lengo la kujaza mavitu kichwani ni kuongeza na kutanua wigo wetu wa kufikiri! Basi! Find X baby!
 
Faida ya kitu ni pale unapojua application yake na uki apply upate matokeo in a conscious state sasa kama peni imebuniwa na unaambiwa application yake ni kuandikia ila hujawahi ona ikifanya hivyo au hata ukiitumia kuandika isiandike kwa hiyo hapo faida ya hiyo peni itaonekana? Na watu waseme hiyo peni inaandika ila huwezi jua kama unaitumia.
 
Km hukuipata thamani ya "X" class, kuiot hku kwa mtaa itakua KAZIIII SANA
sema elimu yetu kweli Bado inatufanya tuwe tegemezi..
We mtu kasoma uchumi, yko kwake anatizama tv sebuleni na family yke, Lakini unakuta taa zimewashwa mpk chooni, bafuni, store n ktk vyumba vingne ambvyo hamna watu kwa muda Huo!! Ss huo uchumi anautumiaje?..
Kaenda ktk Hafla, anapakua chakula sahani Nzima halafu Anakula nusu sahani kilichobki sijui anabakz kwa ajili ya nani..
Kusoma ni part 01, Kuelimika nDio kitovu kikuu na Dhumuni la ELIMU
 

Inashangaza kuona mtu anajiita computer virus alf anakuambia kuwa hesabu haina thamani
 
Mkuu jamaa ana point sema labda ameshindwa kuiweka vizuri.
Ni hivi kuna ELIMU, MAARIFA na UJUZI.

ELIMU : Ni hiyo tunayoisoma mashuleni kwa kukariri zaidi nadhani wanaoelewa na kuitumia kimaisha ni chini ya 5% nadhani. Wengi wanasoma kwa ajili ya kuja kuajiriwa na si kwa ajili ya kupata maarifa au ujuzi. Tumeaminishwa toka ukoloni hadi sasa kuwa kusoma ndio kupata hela na kupata heshima mtaani, kitu ambacho sio kweli kabisa. Formula ya pesa nitaizungumzia hapo chini.

MAARIFA : Ni uwezo wa kiakili wa mtu, kujiongeza katika kitafsiri mazingira yake ya kimaisha ili kifanikiwa zaidi na zaidi. Maarifa humpelekea mtu asiyesoma elimu ya shuleni kufanikiwa sana na kama amesoma atafanikiwa zaidi.

UJUZI : Hauna tofauti na maarifa tunaweza sema ujuzi upo ndani ya maarifa, ujuzi unamfanya mtu kuwa mbunifu na kukua siku hadi siku bila kuwa tegemezi katika maisha.

Naomba niishie hapa ila niseme kuwa elimu bora ni wajibu wa serikali kuandaa mitaala bora. Nadhani ktk hili bado tz tuna tatizo ila wenzetu kenya wametushinda hili , ndio maana wao wakimaliza shule ni rahisi sana kujiajiri na kubuni njia mbalimbali za kutoka kimaisha kutokana na elimu waliyoipata
 
Where is formula of geting money bytheway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…