Faida ya kusoma masomo yote hayo ni kwa ajili ya kukufanya uweze kuchagua your area of interest na si vinginevyo.... ndio maana form one hadi form two unasoma kila takataka, ukifika form three unapunguza mzigo kwa kusoma arts, sayansi au biashara etc. Ukiingia kidato cha 5 masomo ndio yanapungua kabisa na unakuwa na choice zako za masomo... ungeambiwa uanze kusoma arts from form one basi.. wanafunzi wengi wasingejua wanafiti wapi na ndio maana wanaonjeshwa kwanza.True, math's inaongeza thinking capacity. Wasi wasi wangu ni kuwa we're overloading.
Kichwa kimoja cha O-level kinasoma KISWAHILI, ENGLISH, BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS, MATH'S, CIVICS,GEOGRAPHY,HISTORY, COMMERCE... Halafu tunatarajia mtu huyu aje kuwa mvumbuzi kama Mark Zuckerberg????
Kwasabu kwa lundo la masomo hivyo manaake 99% wanakariri au wanasoma kwaajili ya mtihani na sio kwaajili ya kupata UJUZI.
Mwisho wa siku tuna wasomi ambao kwenye practical hamna kitu.Wana vyeti ila ukiwapa kazi wanachemsha...
Hence wasomi wamebaki kuwa watu wa kusubiri kuajiriwa.Na ukiajiriwa, kupata thamani ya X ni ngumu.... maanake ni kuwa neno "mafanikio" utakuwa unalisoma kwenye dictionary na kwenye magazeti.
Faida ya kusoma masomo yote hayo ni kwa ajili ya kukufanya uweze kuchagua your area of interest na si vinginevyo.... ndio maana form one hadi form two unasoma kila takataka, ukifika form three unapunguza mzigo kwa kusoma arts, sayansi au biashara etc. Ukiingia kidato cha 5 masomo ndio yanapungua kabisa na unakuwa na choice zako za masomo... ungeambiwa uanze kusoma arts from form one basi.. wanafunzi wengi wasingejua wanafiti wapi na ndio maana wanaonjeshwa kwanza.
Basi usifanye iwe ni general kwa vile wewe umesoma masomo hivyo... kumbuka ukiponda history u have to do that too kwenye religions... there is no difference.Shule niliyosoma mimi hakuna kuchagua, ni masomo tisa mpaka F IV.
Halafu kuna somo kama History, naona hasara nyingi za kusoma somo hili kuliko faida.
Ukiambiwa ulikuwa mtumwa inakudidimiza kifikra na kukufanya uamini huyo alikufanya mtumwa ana power zaidi yako.
I would replace History with something useful like ICT.
Generally, system yetu ya elimu haitimizi lengo.Wahitimu asilimia zaidi ya 90 hawana ujuzi unaopaswa kupatikana kwa kipindi na ngazi ya elimu husika.Basi usifanye iwe ni general kwa vile wewe umesoma masomo hivyo... kumbuka ukiponda history u have to do that too kwenye religions... there is no difference.
very true.... kosa kubwa lipo kwenye mitaala ya elimu na sera.Generally, system yetu ya elimu haitimizi lengo.Wahitimu asilimia zaidi ya 90 hawana ujuzi unaopaswa kupatikana kwa kipindi na ngazi ya elimu husika.
Kuna tofauti kati ya Mwenye elimu na msomi.Watanzania wengi wana elimu lakini sio wasomi.Elimu waliyonayo ni ya kwenye vyeti, practically elimu hiyo haiwasaidii wala haisaidii jamii.
Mkuu naomba utofautishe vitu viwili ...Tuchukulie mfano unafanyika utafiti leo hii.... ni vitu vingapi tulivyojifunza shule (ya msingi, sekondari O - level na Advance Level) vinatusaidia katika maisha ya kila siku?
Najaribu tu kuwaza kwa sauti... mpaka leo sijawahi kutumia Four Figure, wala logarithm, wala Calculus, wala Quadratic na nimejaribu sana kupata thamani ya X katika maisha... sijaipata.Daah!!
Nimetambua kuwa elimu niliyopata iliniandaa kuajiriwa na serikali na sio kujiajiri.Yaani mfumo mzima wa elimu umetengenezwa kukidhi mahitaji ya serikali na sio kukidhi mahitaji yangu.SMH!!
Hapo ndipo nakubaliana na bwana mmoja aliesema,"Tanzania wenye elimu wapo, lakini kati yao wasomi ni wachache sana" Eee si ndio... asa kumbe nini; watu wana degree zao na haziwasaidii chochote katika maisha.
Hivi: 'Marking scheme' inasaidia kupanua uwezo wa mwanafunzi kufikiri au inabana?
Unakumbuka kibao cha shuleni kwenu... kiliandikwaje?... Elimu ni ufunguo wa maisha / Elimu ni utajiri /Elimu ni urithi wa kweli n.k
Swali ni je, mwalimu masikini anaweza kukupa wewe mbinu za kufanikiwa katika maisha? Au mpaka sasa umeshawahi kufundishwa na walimu matajiri wangapi?
Wasomi wanaishia kuajiriwa na wasiosoma.Wasomi wana elimu sana, wasiosoma wana fedha nyingi.Yaani wale waliokuwa wanapata A darasani huwa wanaishia kuajiriwa na wale waliokuwa vilaza!!! Aisee yaani..Ni nadra sana kumkuta tajiri alieajiriwa.
Baba yako alikwambia soma sana uje kuwa na maisha mazuri,... mimi nasemaje; soma sana nije nikuajiri unisaidie kutafuta thamani ya X.
Let X be valuable papers(Money)😛 Tumia "Pie" = 3.14!!!
Mimi.. ninashukuru.
Mkuu inaelekea umejitafsiri elimu kama njia ya kupata pesa tu, jiulize pesa ni nini? pesa vipande vya sarafu au karatasi vinavyotumika kama njia ya kubadilishana huduma na bidhaa tu, pesa sio maendeleo, maendeleo ni kuboreka kwa hizo huduma na bidhaa tunazobadilishiana kwa kutumia fedha, so elimu inatakiwa imfanye mtu kuboresha huduma na bidhaa hizo, na fedha ni matokeo tu
Msomi :-!
Najaribu tu kuwaza kwa sauti... mpaka leo sijawahi kutumia Four Figure, wala logarithm, wala Calculus, wala Quadratic na nimejaribu sana kupata thamani ya X katika maisha... sijaipata.Daah!!
Tuchukulie mfano unafanyika utafiti leo hii.... ni vitu vingapi tulivyojifunza shule (ya msingi, sekondari O - level na Advance Level) vinatusaidia katika maisha ya kila siku?
Najaribu tu kuwaza kwa sauti... mpaka leo sijawahi kutumia Four Figure, wala logarithm, wala Calculus, wala Quadratic na nimejaribu sana kupata thamani ya X katika maisha... sijaipata.Daah!!
Nimetambua kuwa elimu niliyopata iliniandaa kuajiriwa na serikali na sio kujiajiri.Yaani mfumo mzima wa elimu umetengenezwa kukidhi mahitaji ya serikali na sio kukidhi mahitaji yangu.SMH!!
Hapo ndipo nakubaliana na bwana mmoja aliesema,"Tanzania wenye elimu wapo, lakini kati yao wasomi ni wachache sana" Eee si ndio... asa kumbe nini; watu wana degree zao na haziwasaidii chochote katika maisha.
Hivi: 'Marking scheme' inasaidia kupanua uwezo wa mwanafunzi kufikiri au inabana?
Unakumbuka kibao cha shuleni kwenu... kiliandikwaje?... Elimu ni ufunguo wa maisha / Elimu ni utajiri /Elimu ni urithi wa kweli n.k
Swali ni je, mwalimu masikini anaweza kukupa wewe mbinu za kufanikiwa katika maisha? Au mpaka sasa umeshawahi kufundishwa na walimu matajiri wangapi?
Wasomi wanaishia kuajiriwa na wasiosoma.Wasomi wana elimu sana, wasiosoma wana fedha nyingi.Yaani wale waliokuwa wanapata A darasani huwa wanaishia kuajiriwa na wale waliokuwa vilaza!!! Aisee yaani..Ni nadra sana kumkuta tajiri alieajiriwa.
Baba yako alikwambia soma sana uje kuwa na maisha mazuri,... mimi nasemaje; soma sana nije nikuajiri unisaidie kutafuta thamani ya X.
Let X be valuable papers(Money)😛 Tumia "Pie" = 3.14!!!
Mimi.. ninashukuru.
kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio ya msomi??Mkuu inaelekea umejitafsiri elimu kama njia ya kupata pesa tu, jiulize pesa ni nini? pesa vipande vya sarafu au karatasi vinavyotumika kama njia ya kubadilishana huduma na bidhaa tu, pesa sio maendeleo, maendeleo ni kuboreka kwa hizo huduma na bidhaa tunazobadilishiana kwa kutumia fedha, so elimu inatakiwa imfanye mtu kuboresha huduma na bidhaa hizo, na fedha ni matokeo tu
Topic yako ingejikita kwenye kwa nini wasomi wa Tanzania na Afrika kiujumla tumeshindwa kutumia elimu yetu kuboresha huduma na bidhaa tunazozalisha badala yake tunaagiza kutoka nje miaka nenda rudi, sio kusema kwa nini tumesoma halafu hatupati hela... utaonekana kama elimu haijakusaidia
Mabadiliko atakayoyaleta kwa kutumia elimu yakekipi ni kipimo sahihi cha mafanikio ya msomi??
J umeona umuhimu Wa Shule?Toka darasa la kwanza hadi la saba nilikua wa kwanza, nikachaguliwa vipaji maalum Mzumbe form one hadi four, form two nikawa na highest average kitaifa, form four nikapata straight As, then likizo nikakutana na kilaza aliye ishia la saba letu akiwa amesogea mno kimaisha.
Nilienda PCM Kibaha Sec nikiwa na hasira sana. Pamoja na kupata division One ya points nne na kuchaguliwa Telecommunications Engineering, nilighairi kwenda na kuamua kuingia mtaani kuzisaka... Ilikuwa 2010 Hiyo. Leo nina biashara na manager wake ni mhitimu wa chuo kikuu.
Someni sana, lakini msisahau kujiongeza
Wasomi wengi Tanzania wapo underachieved, wapo wenye spirit ya kuleta mabadiliko ila wanakuwa wamefukiwa na watu wenye mawazo ya kuwa tajiri tu kama wewe, ndio maana tunaajiri raia kutoka nje, tunatoa 90% ya bidhaa kutoka nje licha ya kuzalisha wasomi kwa miaka zaidi ya 50Tuna wasomi wangapi TeeZee na wana mafanikio kiasi gani so far