Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

Hiki kizazi Cha watoto wa Sasa kwenye hi sekta ya iwindaji mmefeli balaa, pamoja na kurahisishiwa na teknolojia lkn baaado mnatoka kapa. Sisi enzi zetu hakukuwa na simu lkn tulikula nyama Sana ingawa kwa uvumilivu mkubwa na medani hatarishi za kivita. Wewe umekutana na demu tu kwenye daladala umeshuka nae unaomba tu namba ya simu. Piga nae story kwanza, ikiwezekana hata kituo ambacho sicho chako, au km kwenu mbezi panda basi la kijichi demu akishuka upo nae piga nae story huku mnakatiza kitaa, akifika karibu na maeneo karibu na kwao lzm akupe alert hapo unabembeleza upate namba ya simu ht akikupa fake kesho unajua wapi kwa kumsubiria. Wenzenu tulikuwa tunakutana na mademu wakali nyakati km hizi za likizo, mzee unafukuzia likizo ya mwezi wa sita ikiisha anaenda shule, wa kumi na mbili anarudi tena mnaendelea, hapo hupewi kitu maana kuonana ni either aje dukani, kanisani, sokoni au kisimani/bombani kuchota maji. Akiwa shule anakuandikia barua taamu balaa. Wa kumi na mbili utaisha atakuja wa sita mwakani tena happy Sasa ndo itatafutwa siku akuonjeshe, mind you hakukuwa na guest houses Wala Nini na ht Kama ipo mnaingiaje huko? Basi km pagala somewhere au kichaka flani huko mnamalizana. Mkitoka lzm una majani kichwani unaenda unyesha washkaji nimepiga kitu leo. Hahaha mademu hawakuwa rahisi km Hawa wa kwenu kwenye simu. Kuwa mvumilivu dogo vizuri havitaki haraka.
 
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.

Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.

Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.

Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Alikuridhisha tu kukupa..next time ukishapewa na umeoza hivyo,unamfutilia kisirisiri mpk atakapoingia....wake up.
 
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.

Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.

Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.

Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Mshukuru Mungu anayeendelea kukuepusha na matatizo ya msingi.
 
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.

Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.

Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.

Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Yani haupo tayari kumpoteza mtu usie mjua nigga? Alafu unakosa vipi usingizi mzee na mtu hata inawezekana humkumbuki mmekutana usiku?
 
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.

Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.

Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.

Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Mtu humjui halafu unaumia kumpoteza. Je ungekuwa umemuonja si ndio ungekufa kabisa

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.

Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.

Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.

Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Mshukuru MUNGU kwa kila jambo labda hakuvutiwa na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom