Asante umeeleweka haya kimbia kachukue buku 5 upoze machunguHana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
Ni kweli Lowassa ni Fisadi na ni yeye aliyasema haya maneno yafuatayo:Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
Tamaa ya nini? Ukwasi keshabarikiwa na Mungu anao wa kutosha! Hakua mtu wa kufuja anachopata hovyo , hivyo tusimwonee wivu.Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
Na atathutubu kweli mkuu wait and seeThubutu
Kwani Lowassa ameteuliwa kugombea 2020? Kichekesho!!Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.
Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Hapati Urais ng'o!! Acha apoteze pesa zake!! Nchi hapewi!!Tamaa ya nini? Ukwasi keshabarikiwa na Mungu anao wa kutosha! Hakua mtu wa kufuja anachopata hovyo , hivyo tusimwonee wivu.
Zaidi anachotaka ni kutimiza ndoto yake ya kuwatumikia watanzania na kujijengea heshima tu.
Hivi huyu mzee hana kiwanja cha wazi ili Lukuvi aitwe ikulu tutangaze kumnyang'anya ?Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.
Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.