“Mpaka kifo kitutenge” wanawake sasa wakataa kiapo hicho……….!

Talaka [inaweza kuwa] ni dhambi, lakini kama maisha ya ndoa yatakuwa ni Jahannam kwa wanandoa, ya nini kuishi motoni hata kabla hujafa?

Kwa sababu hiyo, kiapo kinachopaswa ni kile cha "Mpaka Pale Talaka Itakapotutenganisha" (Till Divorce Do Us Part).
 
Mzee mzima, Mtambuzi , asante for dedication. Baada ya kusoma hili, nimeamini kuwa siko peke yangu kwenye hili hata huko US wameshaliona kuwa mapenzi ya ukweli hakuna ya nini kudanganya na viapo vya uwongo. Ni bora kuweka uwazi from the start.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi haziitwi tena nyumba ndogo, wenzetu kule Kenya baada ya misukosuko mingi katika ndoa, na vipigo lukuki toka kwa wake zao (Kenya wanaume hawana tena chao) Waliamua kufuata utaratibu wa Zimbabwe uitwao "MPANGO WA KANDO" hata wabunge na magavana wakaanza kuu-kampenia ili utungiwe sheria.

Sipati picha hata kidogo.....MIPANGO YA KANDO IKO MINGI.
 
Kiapo kinaokoa ndoa nyingi. Kama si kukumbuka kuwa divorce kwangu siyo option; leo hii ningekuwa single au kwenye ndoa ya pili. Lakini kuna wakati nili/tulikuwa wavumilivu ingawa ndoa ilikuwa katika breaking point. Na hii ni karibu kwa kila wanandoa hasa miaka 6 kwenda chini wanafikia kipindi wanajiuliza kwa nini tuendelee kuishi pamoja. Sasa kama kuna mbadala, yaani divorce, basi ndoa lazima itavunjika. Kama mnaamini kuwa hakuna alternative basi mtafanikiwa kupita hiki kipindi na mapenzi kuanza upya kama wakati wa uchumba. Lol.

Suala la kujiuliza kuna faida na hasara gani kwa watu ku divorce?; kama unaona hasara ni kubwa basi vumilia kwani matatizo mengi ya ndoa ni ya muda mfupi yanapita. Yanatokana na fact kuwa mnatoka familia tofauti lazima itachukuwa muda ku adjust. BUT hii ina work kama ndoa ili base kwenye love na si kingine.
 
"Nitakuwa na wewe nitakupenda wakati wa raha na wakati wa shida hadi kifo cha ndoa yetu kitakapotutenganisha! "
 
Huu ukilaza huu, hata sijaelewa........... Hebu tufasirie sisi tusiojua hiyo lugha, maana naamini unakijua kiswahili vizuri na ndio maana umelewa mada hii na ndio maana umechangia......................
nikifunga ndoa na mtu, ninakuwa nimempenda na kutaka kuishi nae kwa siku zote za maisha yangu. ishu ya 'mapenzi kuisha' haipo

blaine,wewe ni She? mmmhhhh hizi avatar hizi!
NO. typo, i was in a hurry
 
Mmmmhh......mie hapa napita tu, nawakumbusha kuwa Mungu sio mzungu!!
Kipipi hebu nikumbushe kabla ya ujio wa wazungu mababu zetu walikuwa wanamuabudu Mungu yupi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom