Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Sep 25, 2015 9,428 27,070 Jun 22, 2016 #1 Kiukwel kwa sasa naona ukawa wamekaza na wapo serious kwel kwel... Picha inajieleza
Shin Lim JF-Expert Member Mar 27, 2012 7,594 13,764 Jun 22, 2016 #2 Laiti kama rafiki yako anakuwa pauline gekul itakuwa ngumu kukaza, utaibia tu.
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Jun 22, 2016 #4 mwe! yaani hata kitengo cha mapenzi??! hapo itakuwa ngumu loooooo!
chipaka.com JF-Expert Member Dec 5, 2015 2,883 1,189 Jun 22, 2016 #6 Uko wapi ule undugu tuliachiwa na Mwl, Nyerere?
Mahesabu JF-Expert Member Jan 27, 2008 6,592 6,472 Jun 22, 2016 #7 kuna watu wamepoteza DIRA na MWELEKEO katika safari yao ....
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Sep 25, 2015 9,428 27,070 Jun 22, 2016 Thread starter #8 Bila kukaziana kwenye hilo suala la mapenz kla cku bungen tutachekana tu...