Kuhama kwa hii topic hakubadili anything, msimamo ni ule ule tu, kama ni vitisho aulizwe aliyeanzisha topic, mimi msimamo wangu very clear, ukicheza nitakuchezea tu, hatishwi mtu hapa,
Vitisho uache wewe mkuu, naona umeshukuru imahama labda next time utajifunza tabia za kurukia watu usiowajua, bila kuwa na ukweli. Lakini eti mimi nitatishika na wewe hata siku moja! Ninashukuru tu kuwa nimekuelewa mapema rangi zako, ndio imetoka hiyo salaam zao! Maana sisi binadamu wengine huwa tunajifunza mara moja tu hatusubiri mara mbili.
Es Sauti Ya Umeme