Wakuu itifaki imezingatiwa, kila mtu anafuata tahadhali dhidi ya Corona
Hili li-pandemic limekuja na changamoto kibao, licha ya jiji letu hili halijapigwa lockdown lakini kuna watu wamechukua hatua zaidi mpaka kuathiri mambo ya muhimu na matamu katika maisha
Huyu mwanamke anaishi kwao na wazazi wake huko Ununio, kabla ya corona kuitikisa dunia na nchi hii ilikuwa kawaida sama kila wiki tunakutana na papuchi nilikuwa napewa bila vikwazo tena bureee kabisa. Ajabu nchi bado haijawekwa karantine yaani lockdown, yeye anasema kwasasa hawezi toka kwao kwasababu ya Corona
Amekuwa mkali sana katika issue ya kuhitaji atoe papuchi, anasema atatoa mpaka Corona iishe
Wakuu hapa kuna mapenzi kweli, au ndio kipindi hiki amejikarantini na mwingine huko?
Kwahiyo Corona isipoisha sitapata papuchi wakuu, hii hali itafutiwe mbadala kwa kweli
Kurudi kule nilipokuwa sihitaji {goli la nape}
Sent using
Jamii Forums mobile app