Mozilla firefox vs Google crome

Mozilla firefox vs Google crome

Mi natumia sana firefox ngoja niijaribu hyo google chrome.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Google Chrome nzuri, inafaa majority ya watu kwasababu ni fast and simple,,kitu watu wengi wanachohitaji kutoka kwenye browsers ni kupata huduma ya internet kwa haraka na kwa urahisi zaidi..chrome inatumia memory kidogo sana ukilinganisha na ff na ndio inachoisaidia ifunguke kwa haraka zaidi, bila kusahau kwamba ni rahisi kutumia na pia unaweza kutumia address bar yake kusearch chochote mbali na kuweka url tu kitu ambacho mozilla haiwezi,,,

Yaani watu wengine anapost uongo bila hata kufanya research we tatizo lako unachukulia kwamba Firefox uliyoiona mwaka 2004 ndiyo hiyo hiyo iliyopo mpaka sasa. Compare vitu ambavyo
ni latest uone. Chrome ni speed tu kwenye vitu kama kuType neno lolote kwenye address bar hata Firefox inakupeleka moja kwa moja kwenye Search results na pia karibia browser zote sasa hivi ziko hivyo hata kwenye simu labda tu kama hiyo ff yako ni ya longi.
 
  • Thanks
Reactions: HT
Kwanza mjue ff kwa sasa wana vision ya 23 so muichukue then mpambanishe maana na yenyewe iko advanced
take it
 
Jaman napenda leo tujadili kuhusu hizi browser
WHICH IS THE BEST BROWSER
Well you have just started what is known as "religious debate"

kati ya Mozilla ff na Google crome
na kwa kuanza mm naweza kusema Google crome ni nzuri kwa sababu,
1.ina speed kubwa kiasi flan ukilinganisha na ff
Unaweza tunesha benchmark ya speed tests ulizofanya?
Well kufunguka kwa FF kunategemea factor nyingi. Kama ina addons nyingi au kama iko outdated et al, lazima ichelewe!

2.inafunguka haraka, maana huwa inatumia kama 1-2 sec' kufunguka but
ff huwa inachukua hadi 4-6sec kufunguka
Does 3- 4s make a difference? Its nonsense at best, especially when you compare Add-ons and Plugin rich app like FF with young GC! Hata kama GC inawahi hizo sek 3 haileti tofauti yeyote!

3.iko fasta kuDETECT
unsecure website na kuzBLOCK
FireFox+WOT > GC!

Pia FF ina NoScript, na Ad Blockers. Handy more add-ons are there for you to extend browser!

4.Mara nyingi hai_stack kwenyenye web nzito kubwa kama vile Millard Ayo
maana sometime ff inagoma kurespond!
FF Ina stack pale unapokuwa umeiload na Addons/plugins nyingi sana au kuna malfunction.
BTW comparison ya hizi mbili ulitumia versions zipi (za FF na GC)?

MIMI NIMEIPENDA hii Browser lakini cha Ajabu siwezi kumaliza hata nusu saa natumia google crome
yaan nimekua Mozilla Addict
nikitumia google crome muda kdogo tu narudi tena kwenye Mozilla
Self contradiction?

*HAYO NI MAWAZO YANGU KAMA KUNA MWINGINE NAOMBA ATOE CHOISE YAKE NA REASON
ur welcome

Hizi hapa reasons zangu kuwa FF ni Bora kuliko GC
- Extensible via Addons/Plugins
Hapa unapata kitu kama FireBug ambapo GC console haifikii. Kuna XDebug addon, ByTubeD, ColoZilla et al kwa developers: WOT et al kwa security....list goes on

- Completely free!
No forced integration with unneeded products like google's translate. It ought to be a plugin for people who need it. Why should you force me use translate (and hence use my memory) while I don't need it? I can type translate.google.com so I don't need it integrated. Also no fear of privacy

-I can go and check passwords
If I forgot password for one site I remembered, I just go to password manager and voila! How am I supposed to remember passwords for each of many sites I have joined?

- Poweful Tab management
Put many-many tabs and speed is reasonable. If you think FF is not better than GC try that in GC!

- Nice UI
Its +1 for me. FF have better UI than GC. Menus in GC are a way nonstandard. GC UI is a joke for adults...FF UI All the way!

- Best Download Manager

We all know that Download Them All (DTA) is the best non-dedicated DM right? It is not yet found in GC!

I can go listing up things. Does this mean GC is worst browser? No! We know IE is the worst browser ever!
My post just means FF is better than GC 🙂

Did you said I should post my thoughts?
 
yani google wao wanachotaka ni information zako unapenda nini unataka kipi kati ya hiki na hiki unachagua kipi. Ndio maana unaona android ni bure kila mtu anaweza itumia zile device zote za android zinawapa information zako kwao google.

Mwenzake google mwenye tabia ya kufanana ni facebook ambao wanatumia same strategy. Ukiingia facebook upande wa kulia kuna matangazo ambayo yanakuhusu.

Mfano mzuri wa kujua google wanakuchunguzaje angalia unaweza leo kusearch simu flani google then kesho unaingia website yenye google ads unakuta tangazo la ile simu na bei umeshaekewa. Hapa ina maana jana walichukua information zako.

Mambo yanakua worse kwenye private issue mfano mi ni shekhe au mchungaji jamii inaniheshimu then nna mtindo wa kuangalia picha za ngono au video zake kama ntatumia kitu chochote cha google watajua tu na sio siri tena ndo hapa watu wanapolalamika

Mkuu chief, nawe kumbe ni kati ya wanaoamini sana hizi habari za kusadikika na za kifreemasons zitarudisha maendeleo yetu nyuma ama hatutoendelea. Google ajue details zako so what?
Details zako ni muhimu kwake kwakuwa ndo biashara yake kubwa kama search engine ya google. Kasome ujue kwanini anatoa android bure hiyo ni stratergy ya kibiashara the more android is used in many devices the more google makes money. Facebook wanaweka yale matangazo kutokana na eneo unaloishi, ndiyo maana ukiwa tz utakuta kuna matangazo mengi yanahusu events na products zinazopatikana tz. Na kwa style hyo ndivyo anaingiza pesa kwakuwa facebook umejiunga bure hulipii wadhani inaendeshwaje.
Hata hivyo wakitaka kuku track hata utumie device yoyote kama nokia still utatumia google na huduma zao nyingine wata ku hunt down.
 
mkuu sijamention chochote kuhusu free mansons na ntakuthibitishia kitaalamu zaidi kuhusu hayo mambo

1. Kuna gal mmoja anaitwa sarah palin kama sjakoses angeshinda mpinzani wa obama angekua makamu wa raisi wa marekan upuuz huu huu mnaousema wa kuhifadhi data sjui ads na mengineyo ulimponza email zake na information zake muhimu zikiwemo bwana zake zikavuja kila mtu akaziona so negative side sio google tu hata watu wengine wanaweza take advantage ya info za google

hebu tuangalie google anachukua nini kwenye android. Na service zake naquote statement ya cnet

cnet said:
Google Now says it needs access to my
calendar? Sounds useful. My Android phone
needs to turn on my phone's microphone so the
Google Maps app can judge by ambient noise
whether I'm indoors or outdoors? Well, that'll help
me get through the airport faster. My glasses need to identify the faces of people in my
company so Google can deduce who gets
consigned to the Google Voice answering
machine and who gets through to my phone even
at 3 a.m.? Well, I sure don't want to have to set
all that up manually.

haya tuanze na
calender
wana access calender yako kimazuri tutasema ah jamaa wanataka wanipatie vitu vizuri then think negative side unaenda kumkaza mtoto wa watu umeeka kwenye calender ikukumbushe then google nao wameichukua wanajua kabisa jumapili elmagnifico anatoka na missfulani inapendeza eeh.

turn microphone on
haya wanataka waeke microphone on ili wajue kwamba upo nje au ndani magnifico unaamini eeh just for that vitu vyote utavoongea pindi microphone ipo on watavi ignore wao wanataka tu kujua upo ndani au upo nje that sound verry good big up google munatujali

google glass
yah na hapa sio glass zinakuwezesha wewe kuona unachohitaji but kwa mbele zitachukua kama kuna watu au vitu yap wanataka tu waangalie ukubwa wa lips zao maybe wasuggest lip shine. Magnifico upo hapo?

Pia google ana tabia ya kueka service then anapush hard halafu ghafla ana apologize then anaitoa (kakamilisha lengo) ntazitaja hizo service kiufupi hapo chini

-street view ya mwaka 2007. Hapa walikua wanachukua mitaa na picha zake maarufu kipindi kile kama facebluringimage. Walichukua marekani na europe kwa kutumia all aye camera yenye uwezo wa kuchukua mbele nyuma kushoto kulia. Walichukua sura zetu yes wanatusaidia kwenye face detection je ni hio tu? Na database hadi leo wanazo lakini hii wameiua haipo je why watengeneze kitu cha bei kubwa kama hiki then wakiue?

-kuna kesi waliipata uingereza google ya kuiba personal information za watu
cnet said:
Google's Street View cars, which were supposed
to collect the locations of Wi-Fi access points, also inadvertently collected e-mail and text messages, passwords, Internet usage history, and
other data from unsecured wireless networks for
two years or so, beginning in 2007. Google said
in 2010 that it discovered it had accumulated
about 600 gigabytes of data transmitted over
public Wi-Fi networks in more than 30 countries but that none of that information appeared in the
company's search engine or other services.

maginifico na hapo utawatetea? Kesi ipo mahakamani uingereza wametumia wifi ambazo sio secure (zisizo na key) kukomba data za watu hadi password. Jifkirie na password wanazifanyia nini? Na vitu wamechkua na kwenye search engine havipo wamevipeleka wapi?

Nyengine hii

cnet said:
The cars were supposed to collect the locations
of Wi-Fi access points. But Google also
recorded the street addresses and unique
identifiers of computers and other devices using
those wireless networks and then made the data publicly available through Google.com until a few
weeks ago. The French data protection authority, known as
the Commission Nationale de l'Informatique et des Libertés (CNIL) recently contacted CNET and said its investigation confirmed that Street
View cars collected these unique hardware IDs.
In March, CNIL's probe resulted in a fine of 100,000 euros, about $143,000.

nakubaliana na wewe elmagnifico wakita data zetu watazipata but sku zote kusalitiwa bora usalitiwe na mtu usiemjua kuliko kusalitiwa na mtu wako wa karibu unaempenda

na sku zote mtu usijione we huna kitu kwamba huna maana duniani huwezi jua hapo baadae utakua nani. Achia tu data zako
 
mkuu sijamention chochote kuhusu free mansons na ntakuthibitishia kitaalamu zaidi kuhusu hayo mambo

1. Kuna gal mmoja anaitwa sarah palin kama sjakoses angeshinda mpinzani wa obama angekua makamu wa raisi wa marekan upuuz huu huu mnaousema wa kuhifadhi data sjui ads na mengineyo ulimponza email zake na information zake muhimu zikiwemo bwana zake zikavuja kila mtu akaziona so negative side sio google tu hata watu wengine wanaweza take advantage ya info za google

hebu tuangalie google anachukua nini kwenye android. Na service zake naquote statement ya cnet

haya tuanze na
calender
wana access calender yako kimazuri tutasema ah jamaa wanataka wanipatie vitu vizuri then think negative side unaenda kumkaza mtoto wa watu umeeka kwenye calender ikukumbushe then google nao wameichukua wanajua kabisa jumapili elmagnifico anatoka na missfulani inapendeza eeh.

turn microphone on
haya wanataka waeke microphone on ili wajue kwamba upo nje au ndani magnifico unaamini eeh just for that vitu vyote utavoongea pindi microphone ipo on watavi ignore wao wanataka tu kujua upo ndani au upo nje that sound verry good big up google munatujali

google glass
yah na hapa sio glass zinakuwezesha wewe kuona unachohitaji but kwa mbele zitachukua kama kuna watu au vitu yap wanataka tu waangalie ukubwa wa lips zao maybe wasuggest lip shine. Magnifico upo hapo?

Pia google ana tabia ya kueka service then anapush hard halafu ghafla ana apologize then anaitoa (kakamilisha lengo) ntazitaja hizo service kiufupi hapo chini

-street view ya mwaka 2007. Hapa walikua wanachukua mitaa na picha zake maarufu kipindi kile kama facebluringimage. Walichukua marekani na europe kwa kutumia all aye camera yenye uwezo wa kuchukua mbele nyuma kushoto kulia. Walichukua sura zetu yes wanatusaidia kwenye face detection je ni hio tu? Na database hadi leo wanazo lakini hii wameiua haipo je why watengeneze kitu cha bei kubwa kama hiki then wakiue?

-kuna kesi waliipata uingereza google ya kuiba personal information za watu

maginifico na hapo utawatetea? Kesi ipo mahakamani uingereza wametumia wifi ambazo sio secure (zisizo na key) kukomba data za watu hadi password. Jifkirie na password wanazifanyia nini? Na vitu wamechkua na kwenye search engine havipo wamevipeleka wapi?

Nyengine hii

nakubaliana na wewe elmagnifico wakita data zetu watazipata but sku zote kusalitiwa bora usalitiwe na mtu usiemjua kuliko kusalitiwa na mtu wako wa karibu unaempenda

na sku zote mtu usijione we huna kitu kwamba huna maana duniani huwezi jua hapo baadae utakua nani. Achia tu data zako

Chief analysis yako nimeipenda umeniconvice 98%, coz mimi si concervative
 
What if you clear out your browsing history after every internet usage? What is the best way to surf bila kujulikana online?. Who are freemassons? what do freemassons need from us? can we fight against our country and our people?.

yani google wao wanachotaka ni information zako unapenda nini unataka kipi kati ya hiki na hiki unachagua kipi. Ndio maana unaona android ni bure kila mtu anaweza itumia zile device zote za android zinawapa information zako kwao google.

Mwenzake google mwenye tabia ya kufanana ni facebook ambao wanatumia same strategy. Ukiingia facebook upande wa kulia kuna matangazo ambayo yanakuhusu.

Mfano mzuri wa kujua google wanakuchunguzaje angalia unaweza leo kusearch simu flani google then kesho unaingia website yenye google ads unakuta tangazo la ile simu na bei umeshaekewa. Hapa ina maana jana walichukua information zako.

Mambo yanakua worse kwenye private issue mfano mi ni shekhe au mchungaji jamii inaniheshimu then nna mtindo wa kuangalia picha za ngono au video zake kama ntatumia kitu chochote cha google watajua tu na sio siri tena ndo hapa watu wanapolalamika
 
What if you clear out your browsing history after every internet usage? What is the best way to surf bila kujulikana online?. Who are freemassons? what do freemassons need from us? can we fight against our country and our people?.

no way huwezi ukwepa kwa njia hio na ukitaka kusurf anonymous inabidi ununue vpn yenye unique ip adress. Hayo ya freemasons humu si mahala pake
 
kwa mtu wa kawaida na agree chrome nzuri lakini tukienda advanced zaidi firefox anamuacha mbali sana chrome kwenye vitu kama extension na ads on.

Ads on za mozilla zinafanya kazi kubwa ambazo hata software za kawaida zinashindwa fanya sometime.

Kama sasa hivi hii simulator yao mpya ya os yao mpya ya firefox yenye uwezo wa kurun web apps is so awesome vitu kama hivi huwezi pata kwenye chrome.

Pia chrome ya windows 8 inacrash sana inabidi utumie chrome ya kawaida ya windows 7 japo una windows 8.

Chrome nae anamzidi firefox kwenye integration na huduma nyengine za google mfani huduma kama google translate kwenye chrome ipo poa na inanisave sana kwenye website ambazo si za kingereza wala kiswahili.

kaka hapo kwenye blue uko sahihi sana, kuikweli watu wanapenda kuchukia kitu bila kufanya detailed analysis,au inawezekana wengi wetu ,ni watumiaji wa juu juu tu, chrome ni ligtht browser sahihi ,lakini ukija kwenye real browsing experience mozilla FF ni by far the best.
 
Jaman napenda leo tujadili kuhusu hizi browser
WHICH IS THE BEST BROWSER
kati ya Mozilla ff na Google crome
na kwa kuanza mm naweza kusema Google crome ni nzuri kwa sababu,
1.ina speed kubwa kiasi flan ukilinganisha na ff
2.inafunguka haraka, maana huwa inatumia kama 1-2 sec' kufunguka but
ff huwa inachukua hadi 4-6sec kufunguka
3.iko fasta kuDETECT
unsecure website na kuzBLOCK
4.Mara nyingi hai_stack kwenyenye web nzito kubwa kama vile Millard Ayo
maana sometime ff inagoma kurespond!
MIMI NIMEIPENDA hii Browser lakini cha Ajabu siwezi kumaliza hata nusu saa natumia google crome
yaan nimekua Mozilla Addict
nikitumia google crome muda kdogo tu narudi tena kwenye Mozilla
*HAYO NI MAWAZO YANGU KAMA KUNA MWINGINE NAOMBA ATOE CHOISE YAKE NA REASON
ur welcome
RUKA BINUKA !!!hakuna mfano wa google crome!!!
 
People just say it is the best! That is a way too subjective. Tell us why you think X is better than Y (FF and GC in that matter!)
 
kwa mie browser nzuri sio ambayo haistack mara kwa mara, ila ni uwezo wake wa ufanyaji kazi,mie utaratibu wangu ni huu1. firefox2. maxthon3. chromehizo mbili za kwanza nnazipenda sana na kuzitumia sana coz ni rahisi kuziextend (zina extension/addons nyingi)nnapokuwa nasurf kimya kimya nisijulikane mtandaoni uwa naichagua maxthon ambayo inafanya kazi mbili kama standalone browser au ikaigiza internet explorer na website zikaitambua kama internet explorer,html 5, maxthon safi kabisa, so kustream videos kama za youtube huitaji kuweka adobe flash kama kwenye mozilahii chrome ni kwa matumizi ya kawaida tu especially mtu mwingine anapotumia pc yangu, hii siitumii sana
 
Back
Top Bottom