Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Kwa sababu siyo mimi siwezi kujua nin chakufanya...!
mbona rahisi tu....
Wanyaturu noma....nipo na experience nao kinoma nimekaa itigi ...ni washenzi mno ....kama mpo hiyo Ndo habari ya mjini
aendelee na mipango ya ndoaafanyeje?
aendelee na mipango ya ndoa
hana lolote huyo, hapo anayependwa ni huyo aliyerudi kutoka masomoni ila anaona aibu tu kumuacha huyu ambaye ashamtangazia ndoa.