Moyo wa mtu ni kichaka

Internet imekata sijui au bando ndiyo kwishineiiii..........!!!!! au nawe tukupe pesa ya Juice......... uanzishe whatsapp group lako? kwa maana mwaka huu tusio na pesa tutakosa vingi vitamu kwa wakati kweli
Cc the bold
 
Hahahahahaha, hadithi ya watoto wa darasa la nne
 
Malipo ni hapahapa ..uyo kaka asubirie zamu yake yakudanganywa n.a. huyo binti aliyejidai kumsomesha kwa pesa za mwanamke mwingine

Wanaume suruali bwana.
 
Malipo ni hapahapa ..uyo kaka asubirie zamu yake yakudanganywa n.a. huyo binti aliyejidai kumsomesha kwa pesa za mwanamke mwingine

Wanaume suruali bwana.
Inauma sana na unafikiria unamsaidia mwenzako kumbe anakuona mjinga.
 
Duhhhh nice story love it!!!
 
Tony bwana yaani kaajiriwa na yeye kajifanya boss kaajiri kudadeki wanaume nyokooooooo!!!!
 
Tony bwana yaani kaajiriwa na yeye kajifanya boss kaajiri kudadeki wanaume nyokooooooo!!!!
Alafu wanauma design ya Tony akijua kuna vitu anafaidika kutoka kwako, akiwa na shika si sarakasi hizo atakazokupa, mwishi hata laki tano unaiona kama shilingi 5,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…