Moyo wa mtu ni kichaka

Moyo wa mtu ni kichaka

This doc inabidi watu wajitose tu hivyo hivyo.
Hizi chai hazitakuja tena hapa.
 
Halafu na ww pamoja na mashost wako mbona mnavisa vingi sana ? Kila siku ni kutype visa vya wanaume tu..
 
Kwaiyo unatuaminisha kwamba tony anakula msoto kwa kupenda mteremko na kazi yake haimsaidii?
 
Kitu nilichojifunza ni kuwa Mungu anaumbua vibaya sana, kuumwa kichwa kwa Lilian ilikuwa njia ya kuonyeshwa maovu yanayoendela nyumbani kwake na yeye kufanywa mjinga.
hivi vtu vipo sana hivi cha msingi

usimuamini mwanaume100% ktk maisha yako..
omba akuheshimu tu
 
Khaaaaaa hawa wanaume jamani?
Ila mimi nimempenda Angela anavyofanya kazi.
Ningemfukuza Tony nimuache Angela aendelee kukaa na mimi.
Mapenzi yao wangejijua wenyewe.
 
Dahh alikosea sana Tony. Mpenzi anapoleta ndugu wa jinsia tofauti usiemjua kuwa makini.
 
Kwaiyo unatuaminisha kwamba tony anakula msoto kwa kupenda mteremko na kazi yake haimsaidii?
Inawezekana hilo likawa hitimisho lako, kwakweli pesa anazopata Tony hakuna mtu anajua zinakwenda wapi, ingawa aliweza kumsaidia Angela.
 
Back
Top Bottom