Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
- Thread starter
- #41
Kwakweli Angela ni binti mwenye maadili pia ni mhanga katika hili janga kama alivyo Lilian, alikuwa katika wakati mgumu sana, kumwambia Lilian story yote alishindwa kwani Tony ndiye aliyemsomesha kwa miaka miwili na ndiye mfadhili mkuu.Khaaaaaa hawa wanaume jamani?
Ila mimi nimempenda Angela anavyofanya kazi.
Ningemfukuza Tony nimuache Angela aendelee kukaa na mimi.
Mapenzi yao wangejijua wenyewe.






