Kwakweli Angela ni binti mwenye maadili pia ni mhanga katika hili janga kama alivyo Lilian, alikuwa katika wakati mgumu sana, kumwambia Lilian story yote alishindwa kwani Tony ndiye aliyemsomesha kwa miaka miwili na ndiye mfadhili mkuu.Khaaaaaa hawa wanaume jamani?
Ila mimi nimempenda Angela anavyofanya kazi.
Ningemfukuza Tony nimuache Angela aendelee kukaa na mimi.
Mapenzi yao wangejijua wenyewe.
Hilo nimeliona,Lilian alitakiwa kutumia busara tu maana Angela hana kosa.Kwakweli Angela ni binti mwenye maadili pia ni mhanga katika hili janga kama alivyo Lilian, alikuwa katika wakati mgumu sana, kumwambia Lilian story yote alishindwa kwani Tony ndiye aliyemsomesha kwa miaka miwili na ndiye mfadhili mkuu.
Ninawasiwasi hata kama Tony anamapenzi ya kweli kwa Angela, aliona ana maakili na alijua akimaliza shule atakua na maisha mazuri. Sifahamu kilichoendela kwa Tony na Angela lakini Liliani amechukia wanaume wote in general.Hilo nimeliona,Lilian alitakiwa kutumia busara tu maana Angela hana kosa.
Sasa kaenda wapi huyo bint jamani?
Hata kama ningekuwa mimi ndio Lilian lazima ningekuwa ktk hali hiyo,Tony kamtenda vibaya sana.Ninawasiwasi hata kama Tony anamapenzi ya kweli kwa Angela, aliona ana maakili na alijua akimaliza shule atakua na maisha mazuri. Sifahamu kilichoendela kwa Tony na Angela lakini Liliani amechukia wanaume wote in general.
Kama ni movie inaitwa incomplete missionHuyu naye Sky Eclat sio wa kumwamini sana maana kila siku yeye ni stori za visa vya mapenzi vya mashosti... Yaan taabu tupu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji119]Kama ni movie inaitwa incomplete mission
Za kwako mbona hutupi au ndo umetumia mjna tofauti kutupa mkasa wakoNinaongea visa vinavyowapata shost zangu mkuu, ulitaka niongelee habari za Simba na Yanga?
Hiyo chance ingetokea kama Angela angekuwa na ujasiri wa kumweleza Lilian kinachojiri kwakuwa Lilian alishaanza kusoma alama za nyakati angeelewa somo.Tony ni Master, nimempenda bure tu.
Pongezi kwake tafadhali.
Lilian na Angela wote hawajui kuitumia hiyo Fursa, wangejipanga vizuri na kushirikiana kwa Siri, sasahivi tungekuwa tunaongelea Series ya UN Secretary Season ya 19 Episode ya 40.
Narudia tena, Tony Shikamoo nimekupenda Bure!!![emoji7][emoji8][emoji3][emoji16][emoji23][emoji123]
Mkuu si rahisi wanaume kuzungumza hisia zao, wengi wakitendwa wanamaliza stress zao either kwa ulevi au kujiua, sisi wanawake tunayasimulia na kulia. Ndiyo maana ni rahisi kwangu kujua visa wanatotendwa wanawake.Halafu na ww pamoja na mashost wako mbona mnavisa vingi sana ? Kila siku ni kutype visa vya wanaume tu..
Hasira za Lilian zimeharibu Scenario..., Angela na Tony (Master wangu) ndiyo walikuwa wanaishi uhalisia wa BigBrother.Hiyo chance ingetokea kama Angela angekuwa na ujasiri wa kumweleza Lilian kinachojiri kwakuwa Lilian alishaanza kusoma alama za nyakati angeelewa somo.
Hata iptl na escrow ingefaa sana au unaonaje mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ninaongea visa vinavyowapata shost zangu mkuu, ulitaka niongelee habari za Simba na Yanga?
Kaazi kwelikweli yaan taabu tupuSky unapenda kutuacha njiani wewe[emoji17]
Lakn ukumbuke urafiki na Mme wa mtu marufuku... Watakuja kukukaza[emoji2] [emoji2]Mkuu si rahisi wanaume kuzungumza hisia zao, wengi wakitendwa wanamaliza stress zao either kwa ulevi au kujiua, sisi wanawake tunayasimulia na kulia. Ndiyo maana ni rahisi kwangu kujua visa wanatotendwa wanawake.