Moyo wa huyu mzee umenidondokea

nakushauri kamuombe ushauri K-LYNN
 
Nipe namba yako na mimi ntakupigia mara kumi zaidi kwa siku OMG 81 years na ww una ngapi
 
Kazi kweli kweli binti mbichi Put in
 
Pole mwanangu, kumbe na wewe uko humu? Ila usijari, pension hataiona!!!!
 
Hahaha Put In yeye Hajali kuhusu umri wa mzee miaka 81.. ila anachojali ni ugonjwa wake '...... nadhani umenielewa mkuu ..Aisee
Nimekuelewa mkuu najaribu kumuonyesha kuwa kama anaogopa kisukari cha mzee asijaribu kuyaingia mahusiano hayo maana inakua kama anajilazimsha sasa anatafuta maoni ya njia tofauti ya kumpa moyo...mimi namwambia ajishauri yeye mwenyewe maana maisha ni yake sio ya mtu mwingine, furaha ni yake na sio ya mtu mwingine
 
Aise nilikuwa sijasoma vizuri mada. .kumbe huyo mzee huo ndio umri wake. ...

Aise hiyo ni case..kwanza hata family yake na jamii nzima itamuhisi kuwa ame fuata Mali za mzee tu na sio vingine kabisa
Kabisaaa hujakosea hata.

Japo nawaza tu msichana tena anayejiita "mbichi" anaanzaje kujiweka kwa mzee kiasi hicho. Wakati vijana mmejaa tele. 😜😜😜
 
Vijana wengine Wana tumia sijui wanaita ndio vumbi sijui nini la Congo ' ...so hataki Kuja kukutana na Balaa mpaka aje kujikanda bure
Kabisaaa hujakosea hata.

Japo nawaza tu msichana tena anayejiita "mbichi" anaanzaje kujiweka kwa mzee kiasi hicho. Wakati vijana mmejaa tele.
 
Ha ha haaaa,atakufaje?mwanaume hata km ana miaka 100,haja ya mwanamke ipo pale pale,ww nenda ukaolewe nae tu.hua mnasema vijana wasumbufu sasa umepata bahati ya mzee unachezea tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…