Moyo wa huyu mzee umenidondokea

Moyo wa huyu mzee umenidondokea

mm nilishakuaga na mtu mzma ila sio babu, alikua na kamaa 35 ivii nlikuaga najishtukia sana kua nae ika nikizoea..nilimkubaligi nikijua hana mda mrefu ataitaji familia but ikawa tofaut nikamshindwa..mi nilijua atakua proud kumiliki bint kama mm tena nisie na makuz...nikaja kujua ana mtu wana miaka 6..daah nililiaga kidogo nakumbuka. MM NILIJITOSA KWA MTU MZMA ILI NIOLEWE MAPEMA sitaki kuhangaika.iyo ni 2017
 
@hearly njoo unisaidie kama umemuelewa huyu doughter
 
Hahaha kwamba mtu mzima kwake ana alikuwa na miaka 35 aise nahisi alianza ku-date nae akiwa under 18 that's why alikuwa ana muona kuwa huyo ni mtu mzima ....

The way I know ..Umri wa kuanzia miaka 30 kwa wanaume ni umri ambao wana wake wengi ambao wapo chini ya miaka 30 huwa Wana tamani kuwa na wanaume wanaoanzia makamo hayo ' kwa sababu wanaume wengi huwa Wana kuwa wamekomaa zaidi kuakili pindi wanapo kuwa katika huo umri na huwa Wana yatazama zaidi maisha kwa jicho la tatu nikiwa na mantiki ya kuwa wana ya beba majukumu yao ipaswavyo na kuachana na mambo mengi ya kijinga ''

BTW-- aliweza vipi kujiingiza kwenye mahusiano na mtu bila ya kumchunguza kwa kina ili hayo ya kujua kuwa ana share ya siweze kumkuta. ...... the I know now days watu huwa tuna ambaiana ukweli -- kuwa mimi nimekuelewa but nina mtu wangu so kama unajiingiza katika hayo mahusiano unakuwa una jijua wazi kabisa kuwa hapa nime vamia makazi ya watu ...so kazi inakuwa kwako Usuke ama kunyoa

Huu uzi umenipandisha hasira!
Nimekumbuka "mpuuzi" mmoja hivi baada ya mama yetu kufariki ndio anamchuna baba huko kijijini.
Yaani mzee keshatoa maelekezo kwa mama mwenye baa kuwa huyo dada akifika hapo ale, anywe, halafu yeye anapewa tu bili.
Mbaya zaidi nasikia anamvia baba tarehe za kwenda kuchukua pension zao ndio anajifanya kuwa naye bega kwa bega.
mxewwwwiiiiiw
 
Asante kiongozi..
 
Pole mkuu ...wazee wenyewe ndiyo wanataka faraja
 
hahahahahaha, wazee wanabalaa hawa. wanatafuta makubwa!!
Mbaya zaidi mzee wetu akiona mpunga umekata anaanza kutuambia tumtumie hela. anatoa maelekezo kwa watoto wote. Bahati nzuri wote, tuna vijishughuli vya kutupatia kipato halali.
 
Hakunaga mapenzi kabisa nyakati hizi kinachoangaliwa ni what you have
 
MTU HAFUNDISHI AKILI ila anafundishwa kutumia akili alizo nazo, mkuu angalia mahitaji ya moyo wako na ka ukiona huelewi hebu kamshirikishe mzazi wako wa kike uone atakujibu nini
 
Mumtumie tu asogeze siku na mama mdogo [emoji16][emoji16][emoji3]

Back
Top Bottom