Moyo wa huyu mzee umenidondokea

Moyo wa huyu mzee umenidondokea

Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi
Mzee kaja ofisini kwetu alikuwa anahitaji uduma ya kiofisi basi nikamuudumia vizuri tu ...mzee kaanza kunisifia et nimemuudumia vizuri so anahitaji no yangu ili awe ananisalimia bila hiyana nikampa no .
Mzee kufika home kwake tu akaanza kupiga simu ananisifia sana .. so akawa anapiga sana simu anaomba niende kumtembelea kwake mimi nikawa sitaki ...lakini alikazana sana ...nikaona isiwe kesi ngoja nikamsikilize basi nikaenda kwake.
Mzee akaanza kueleza ya moyoni kwamba ananipenda sana toka ameniona pale ofisini hapati hata usingizi ananiwaza tu mimi anahitaji niwe nae karibu ....mke wake alishafariki yuko pekee yake na vijana wakumsaidia hapo home.....kimaisha yuko vizuri sana kwani anavijana wakubwa wanaomtunza ....kijana wake mkubwa yuko Tokyo alizaa na mzungu kipindi anasoma uko.....na mengine mengi amenielezea...
..mzee ananipenda sana kwani kwa siku anaweza anipigie simu mara 5 anauliza naendeleaje na kama ninashida nimwambie ....anamtuma mpaka dereva wake aje anione kama niko poa uko job !

Shida iliyopo mzee anaumwa kisukari ....mimi naogopa kumkubalia coz anaweza kuomba shoo nikampa akanifia bureeeee kutokana na hilo tatizo la sukari

Nikisema nimkatie mawasiliano roho inaniuma naona kama atasononeka sana coz mzee anahitaji sana faraja yangu ...yani akiniona tu unaona kabisa vile anakuwa happy

Ikumbukwe mzee ana 81age

Ushauri plz nifanyeje?
Kaamuulize K-Lynn alifanyeje ktk hali kama hiyo

Bazazi
 
Mbona hausemi 'kama Upo kwenye mahusiano au la? !!!

Mwanamke kutongozwa sio issue '..Issue ni yeye kudiriki kuingia katika mahusiano mapya wakati ana mtu(mwanaume) mwingine tangu awali ambaye yupo nae in luv
Hawawazagi ilo
 
Kwa kweli
download.jpeg
 
Mpare unaacha hela?
By the way hiyo "huruma" ndio inawaponza wanawake wengi
 
Yaan sijui unampaje dudu kesi inakunyemelea huku penshen inakuita
Kupanga ni kuchagua
 
Hapo Moro upo sehemu gn nije nikusaidie mawazo
 
Kibabu kinautaka utamu 😂😂😂😂

Hapa ndio ile kauli yangu ya kwamba wanawake hawapendi bali wanaangalia maaisha ndipo unapoonekana...kibabu cha miaka 81 wa nini
 
Back
Top Bottom