Moyo wa huyu mzee umenidondokea

We sema tu umeona fursa ya pensheni unaitaka.
Kwani kabla hajakuona alikuwa ana shida mpaka ipelekee akikukosa atakufa.
"NENDA"
 
Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi
Mzee kaja ofisini kwetu alikuwa anahitaji uduma ya kiofisi basi nikamuudumia vizuri tu ...mzee kaanza kunisifia et nimemuudumia vizuri so anahitaji no yangu ili awe ananisalimia bila hiyana nikampa no .
Mzee kufika home kwake tu akaanza kupiga simu ananisifia sana .. so akawa anapiga sana simu anaomba niende kumtembelea kwake mimi nikawa sitaki ...lakini alikazana sana ...nikaona isiwe kesi ngoja nikamsikilize basi nikaenda kwake.
Mzee akaanza kueleza ya moyoni kwamba ananipenda sana toka ameniona pale ofisini hapati hata usingizi ananiwaza tu mimi anahitaji niwe nae karibu ....mke wake alishafariki yuko pekee yake na vijana wakumsaidia hapo home.....kimaisha yuko vizuri sana kwani anavijana wakubwa wanaomtunza ....kijana wake mkubwa yuko Tokyo alizaa na mzungu kipindi anasoma uko.....na mengine mengi amenielezea...
..mzee ananipenda sana kwani kwa siku anaweza anipigie simu mara 5 anauliza naendeleaje na kama ninashida nimwambie ....anamtuma mpaka dereva wake aje anione kama niko poa uko job !

Shida iliyopo mzee anaumwa kisukari ....mimi naogopa kumkubalia coz anaweza kuomba shoo nikampa akanifia bureeeee kutokana na hilo tatizo la sukari

Nikisema nimkatie mawasiliano roho inaniuma naona kama atasononeka sana coz mzee anahitaji sana faraja yangu ...yani akiniona tu unaona kabisa vile anakuwa happy

Ikumbukwe mzee ana 81age

Ushauri plz nifanyeje?

Miti mikavu ikianguka , uanguka na miti mibichi.
 
mkubalie, umpe na tigo kabisa mzee aongeze siku za kuishi zamani mke wake hakumpa hiyo huduma
 
mtu mwenye kisukari hawezi kufa kwenye show ilimradi kama sukari yake iko sawa na mpaka umri huo anajua kuimanage give an old cat some ass thats for the all niggas out here
 
Back
Top Bottom