Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

Kwa vile mwajitoa akili.. Acha wawagalagaze tu.. Na mtapelekwa sana.
 
Mkuu piga chini huyo si mwanamke muaminifu atakuja kukletea maradhi au hata kuja kupigwa maana siku ukimtembelea Morogoro jamaa yake huyo anaweza ku organize rafiki zake waje kukuvamia.Ninajua una uchungu sana wa kumsomesha na gharama zingine nyingi lakini hayo hesabu ni matumizi yaliyopota bila faida yoyote na mwisho wa siku utajikuta umezoea.
 
Si unaona mkuu, badala auchapishe mwendo mchepuko njia kuu yaja anatoa sababu. Mi nakuambia wanaume tuna heshimu wake zetu coz wakije michepuko inatoka. The girl would obviously rather be with mchepuko than jamaa

Ha! Ha! Ha! Sababu wanafikiri wamechoshwa na wewe wanataka mabadiliko kumbe mabadiliko kutegemea kwa binadamu mwenzako ni tag of war......


Tumeumbwa kupambania maisha yetu 100%...

Kama hauna imani ndiyo mwanzo wa matatizo na maisha ni skills ukikzikosea una fail na ku fail si mwisho wa barabara...

Unfortunately wadada wengi hawapo aware on that!


Ukikosa maarifa umekosa eternal life.... life at a constant pace.. waeza kupata tenure terrain but can't last longer... beware.... #knowthyself
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa uyo.....pole kijana ameshanyonyolewa uyo. Na tena wapo chuo kimoja jamaa atakua anajitafunia tu kiulani wewe endelea kukaa dodoma na yeye nafanya yake Moro. Kadhambi ka ngono hua ni ngumu kumtoka huyo
 
Hiv navoandika wana jf yupo njian anakuja dom nimemkataza kuja kalazimisha ila nimemwambia hata akija hawezi badilisha chochote

Ha! Ha! Ha! Natumaini hautamuonesha chats za ushauri from us.. pliz do not do such a mistake...

Bora uende kwa mchepuko na wewe...
If I only were you only and only if..
To me a gal decides kuliwa na m2 tofauti na mimi ni kitu huwa si discuss wala sitaki kufumania red lights zikitosha naamsha.....

Mbele kwa mbele no grudges... siametaka yeye...

Maana yake hapo wewe anakujali coz una mawe hata kama ni kidogo lakini anajua supply haikosi kila anapohitaji....

Drop that damn it son! Doing it for her is good but her taking you for granted is a severe toruture son!
mbaruck
 
Last edited by a moderator:
Simchongelei mwanamke mwenzangu ila kitendo cha kulala na mwanaume huyo room moja hata kama alikuwa kwenye siku zake ni kukosa heshima.kwa nn hakumlipia gest? Hata akiwa kwenye red sea automatically walikiss waliiiiiii yule akamaliza anyway fata roho yako inapenda.



People do intercourse during red sea mate...
 
Ubongo wa chini huu unatupa tabu sana!!! Ma x kukumbushiana rahisi sana hasa pale wanapokuwa waliachana kwa bahati mbaya



Ha! Ha! Ha! Ukichagua mabadiliko jipange kuvumilia maumivu...

Huu ubongo haupendi maumivu... kubali maumivu hayo yana manufaa tu in the long run mate...

Kuna watu wanafanyiwa mbaya saaana na wanawake meona saaana wengine wamekuwa very dumb in every life aspects... wtf!
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho wa mada sikutaka hata kusoma comments, hapa langu ni moja kwanza huyo jamaa lazima ni mpeleleze ni mjue mchumba wake mwingine ni mjue dada yake cha kufanya najua nisiulizwe then hasira ndo zita shuka na kama mtoa mada...

Nimekoment nikiwa Na hasira
 
Ha! Ha! Ha! Ukichagua mabadiliko jipange kuvumilia maumivu...

Huu ubongo haupendi maumivu... kubali maumivu hayo yana manufaa tu in the long run mate...

Kuna watu wanafanyiwa mbaya saaana na wanawake meona saaana wengine wamekuwa very dumb in every life aspects... wtf!

Mapenzi hayana phd bwasheee!! Ukiingia jiandae kupigwa tu!
 
Mapenzi hayana phd bwasheee!! Ukiingia jiandae kupigwa tu!

Kweli bwashee,,,
Kuna ma balaaa huko we acha tu.... wapo ambao wakipigiwa wanaendelea kukomaa na kuvumilia maumivi ya hisia...

Ha! Ha! Ha!
 
Kweli bwashee,,,
Kuna ma balaaa huko we acha tu.... wapo ambao wakipigiwa wanaendelea kukomaa na kuvumilia maumivi ya hisia...

Ha! Ha! Ha!

Hatuna namna mkuu, mapenzi yanarun dunia eti........ Kamoyo kakipondeka unakasakafia maisha yanaendelea.....
 
Hadi umekuja kuomba ushauri humu ndani ni wazi kuwa hutaki kuchukua maamuzi magumu. Basi msamehe tu,

Hahah 😃😃😃 jamaa mbona kama amekata tamaa.
Mi namshauri asirudie tena kusomesha mwanamke hasa kabla ya ndoa 💍💍
 
Kuchukua maamuzi magumu mchezo, hapo alishainvest vya kutosha tu, akikumbuka ndo anaishiwa nguvu kabisaaa!!

Halafu yale yale ya uchumba sugu, 4 years!!!!???

cc sumbai
Ahhaha bora hata hawa mdada yupo shule, usugu wao unamake sense

Ila usifanye utani kuachana na mtu bana mmh
 
Back
Top Bottom