miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
inauma sanaMambo mengine uishie tu kuhadithiwa

ndiyo uache kuamini hivyoniache kufanya vp?? Kuamin ninavyoamin ama?
Ni binti nilompenda SANA nae alinipenda pia kiasi cha kuwa kwe mahusiano miaka mi4 sasa bila kusalitiana!nilikuwa msaada mkubwa sana kwake tangu alipokuwa akiishi kwenye maisha ya shida,mateso kutoka kwa mama yake wa kambo!nilikuwa mchango mkubwa sana kwake katika suala la elimu tangu amalize kidato cha sita mpaka sasa yupo chuo.Nilifanya jitihada sana kumtafutia chuo alipomaliza kidato cha sita akapata chuo MBEYA alifanikiwa kumaliza diploma nikaendelea kumpigania aendelee kusoma degree nilimuombea mkopo na kufanikiwa kupata(90%) chuo alipata MOROGORO!
Alipofika chuo alipanga chumba nje ya chuo ili apunguze gharama za maisha bahati mbaya mizigo yake aliiacha MBEYA alipokuwa akisoma diploma kwa rafiki yake wa kiume ambae sikujua kuwa alikuwa ni mpenzi wake wa zamani japo waliachana kipindi wapo kidato cha tano!Jamaa alipanga nae kumtumia mizigo yake kutoka mbeya kumpelekea morogoro anaposoma!na wakati wote huo alikuwa akiniambia kuhusu hio mizigo kumuachia huyo rafiki yake!Kumbe jamaa nae alipangiwa chuo hicho hicho anosoma mpenzi wangu japo yeye alikuwa anachukua masters!
hivo ikabidi mizigo asafiri nayo hadi MOROGORO kumpelekea!jamaa alipofika na mizigo aliipeleka chumban kwa mpenzi wangu sikujua kuwa jamaa kalala siku mbili chumba kimoja na mpenzi wangu bila hata ya kuniambia kuwa jamaa kafikia kwake!Juzi niliamua kumpigia mpenzi wangu kumwambia kuwa ntaenda kumtembelea japo alikubali ila alileta sababu kibao kuwa na kazi za chuo nyingi aloachiwa!
Wakati huo huo nadhan alimwambia jamaa kuwa nategemea kwenda ikabidi jamaa anipigie simu anielezee kila kitu nadhan sababu alishazoea kuwa nae pale ndani wivu ulimuingia ikabidi aniambie!Sikutaka kuamini maneno ya jamaa ikabidi nichunguze kwa kumpigia simu mpenzi wangu kumuuliza yupo wapi akanambia yupo nyumbani peke yake kumbe alikuwa na jamaa, kwani pia nilimpigia jamaa na kumwambia amuongeleshee mpenzi wangu ili nisikie sauti yake ni kweli kuwa jamaa alikuwa akishinda na kula pale kwa mpenzi wangu mda wote tangu afike morogoro bila ya mpenzi wangu kuniambia!
Alipoona nimegundua ikabidi anipigie simu na kuomba sana msamaha na kunieleza kuwa jamaa hakuwa na pakulala ikabidi ampe hifadhi kwa siku mbili yeye alikuwa akilala godoro la chini jamaa akilala kitandan tofauti na alivyoniambia jamaa kuwa walikuwa wakilala kitanda kimoja!
Niliumia sana kwanin anifiche kwa mda wote huo asiniambie kuwa ni mpenzi wake wa zaman na kwanin amruhusu jamaa alale chumbani kwake wakati ana rafiki zake kibao wa kiume wanaishi ndan ya hostel za chuo angeenda kumuombea pakulala!,na anavyodai hawakufanya chochote kwani jamaa alikuwa anamlazimisha sana warudiane ila alikataa sana pia alikuwa kwenye siku zake!!amelia sana nakuniomba msamaha kwa kutokuniambia ukweli ilibidi nimuulize kwanin aliamua kunificha akanambia aliona vibaya kuniambia kwani yule ni rafiki yake pia ni ujinga wake umemponza!
Mpaka sasa nipo kwe wakati mgumu katumia mpaka rafiki zake kumuombea msamaha anataka mpaka kuja dodoma kuniona ili anielezee kila kitu lakini moyo wangu unasita sana! Nilimuamini sana wala sikutaka kumbana nani wa kuwa nae rafiki lakini leo hii kweli analaa chumba kimoja na mpenzi wake wa zaman siamini kuwa hamna kitu walofanya!
Ushauri wenu wana jf wenzangu nifanyeje?
ndiyo uache kuamini hivyo
Teh teh..Mpendwa itabidi ukubali tu..Mtu uliyewahi kumvulia kyupi ukiwa nae karibu kukutafuna ni rahisi sanaHahaaaa hawa wazembe bana....
UPDATES
Hiv navoongea wana jf yupo njian anakuja DOM kuniona nimemkataza kuja ila analazimisha!! Nimemwambia hata akija hawezi badilisha kitu chochote!!!

pole sana sana kwa matatizo, inauma ila ndiyo hivyo imeshatokea, msamaha mara nyingi unaweza kumbadilisha mtu na kuna kipindi unaweza kumkomaza mtu akawa msaliti aliyebobea, nasema hivyo kwa kuwa hata mimi ni mwanamke kuna kipindi yalinikuta makubwa zaidi ya hayo yako na niliposamehe nikajuta zaidi maana yalitendwa makubwa zaidi ya mwanzo. kwa hatua hiyo angalia maisha mengine