Moyo unadunda kasi nikikumbuka university of bagamoyo!

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
Jamani naomba mnisaidie maana kila nikiona namba mpya inaita kwenye cm yang u nadhani ndio wananiita U/bagamoyo maana napenda sana nikafanye kazi nao,bora nifahamu ili labda nizoee kam walishaita watu waliowachagua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom