Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 411
Jioni hii haijakaa vizuri kwangu
Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria
Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.
Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimrafute leo nikamkumbuka sana nikampigia akupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.
Katika kuchart chart najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi
Nanukuu
"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "
Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.
Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yatakwisha, hakuna yasio na mwisho. Yatakua furahaJioni hii haijakaa vizuri kwangu

Heri ya mwaka mpya Ulweso.
Kwanini hujibu PM yangu lakini?
Haaa haaa kumuomba Mungu lazima babu ikibidi na kufunga kabisa [emoji23]Wewe huwa unamwomba Mungu au bado hujaingia kwenye fani?
Ewaaa... njoo kanisani kwangu nikufanyie maombi spesheli. Utapewa punguzo la sadakaHaaa haaa kumuomba Mungu lazima babu ikibidi na kufunga kabisa [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaa... dah!Njema kabisa , sijui kwa upande wako
Itakuwa umekosea sijaona chochote
Sent using Jamii Forums mobile app