VIP unataka kua principal bachelor..ha ha ha Mungu hapendiPole sana...Haya masuala ya ndoa yanatisha sana kila nikifikilia naona niwe bachelor sugu sina presha wala manunguniko mwendo kula bata..
Umeshapata wa kuchat nae?[/QUOTwalikuja wengi sana na nashukuru nimepata faraja sana sahivi stress zinapungua..thanks nyng kwa wana jf
Nashukuru mungu walikuja wengi na nimepata faraja snaUmeshapata wa kuchat nae?
😂😂😂 hayaaNdio utulie sasa
Mkuu sipendi usumbufu mtu
Kweli inauma, pole sana aunty.....Habari
Najua sikupaswa kupost hapa lakini namna navyojisikia anaeelewa ni Mungu pekee, nipo ndani na mwanangu nimelia sana nahisi nakosa control hadi mtoto naye analia, nikaona acha nipost Jf yamkini nikakaa sawa
Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria
Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.
Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimtafute leo nikamkumbuka sana sababu ni mwanaume nayempenda kupita kiasi nikapiga moyo konde nisimtafute but hisia zikazidi akili nikampigia kama mara 7 hakupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.
Katika kuchart chart nikawa najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi
Nanukuu
"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "
Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.
Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi nimelia sana kwa maneno hayo toka kwa mume
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ukiona hivyo jua wapendwaMkuu sipendi usumbufu mtu
mzima na mindevu unaulizwa huko
wapi au unafanya nini sasa hivi lakini
ukiwa bachelor mwendo mdundo no
stress..
pole madam,Sms hiyo ikupe chachu ,hari na nguvu ya kupambana zaidi na zaidi ili ufanikiwe zaidi ya ulipo.Habari