Moyo unabubujika machozi

Dah(inamaana unampenda sabab yeye tajir wew huna kitu)
dear sister yote mipang ya MUNGUhuwez jua mungu ameepusha nin any way MUNGU anaua nan kwajil yako uskute mie noah ndo tulizo lako milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana..
Na hilo pia litapita..
Utasahau..
Omba kwa sana.. Hiyo sasa ni opportunity ya kuwa karibu na Mungu wako
 
Pole sana...Haya masuala ya ndoa yanatisha sana kila nikifikilia naona niwe bachelor sugu sina presha wala manunguniko mwendo kula bata..
 
Inavoonekana kakereka sana katika kutokuelewana kwenu kiasi cha kutumia maneno makali hivo!!.

Jipe ujasiri wa kusamehe na kusahau ili upate amani ya moyo vinginevyo unaweza jisababishia magonjwa ya moyo ukataabika zaidi.

Epuka kuweka kisilani na kujiapiza vitakumaliza wewe mwenyewe.

Maisha yanaendelea. Pole
 
Wewe umeongea ukweli mtupu lkn mgumu kumeza ilishwah nikutaga...nlilia nkaapa cttomtaka tena maisha alikuwa n mpenz tu lkn alivyord nkajikuta moyo unarmed cjui kwann cna roho ngumu...yani nlilia mpka macho yakakauka akaja kunrdia kiulain Sana..ila now cpo naye tena...ila hyo point ngumu kumeza I wish ningekuwa naweza
 
Pole sana karibu pm kwa faraja zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni wako kama hana mahusiano na mtu mwingine,mfuate anakoishi mzungumze faragha;una nafasi kubwa ya kumbadilisha.
 
Yani kama nakuona ambavyo upo now hakuna kitu kinaenda kwako...kila mud unamuona yeye..ila piga moyo konde huyo hajakupenda kama ww ulivyompnda..kubali matokeo mpnz hayo n mambo y kawaida japo magumu mnooooo kukubaliana nayo...mm ilishanikutaga nkasema ngoja njrd yaishe tuendlee na mpnz wangu lkn ndo aliniona boya mara 100 akzd kunidharau...cjui wanaume wamebwaje...mwanaume hawez kukthamini upendo unaompa...mm kuna mkaka alinitolea maneno makali nice kufa..kila nkimuona moyo ulikuwa unapasuka...nakushaur u move on japo co rahc..na hakna step ngumu kama hyo..mm mwnyw ilinshndaga nkawa kinganganiz yalinikuta nlijikuta moyo wenywe unaelewa...kaza moyo sana kubali matokeo
 
Wanaume na kauli zao za kukera duuuh!!!
 
ukiachwa achika ndugu....kuna mwingine akikuacha hakamwimbii ila utauona tu vitendo hasemi anakupenda hakupi zawadi kama mko mbali hakujulii hali mara kwa mara yaan hakujali .sasa shukuru huyo kasema wazi...cha msingi songa mbele Mungu ataleta mwingine utamsahau huyo mfilisti...pia kumbuka wajibu wako kama mkristo n.a. wewe ni mwanamke ni wajibu wako ni kutii tu n.a. sio kupenda.. kupenda huleta shida kwa mwanamke...mana sio wajibu wako......ila upendo kwa watu wote ruksa.kwa mpenzi utii ndio sehemu yako..sharp

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umeshapata wa kuchat nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…