Love dissapointments

kukukishingo

Senior Member
Mar 25, 2023
109
144
Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, katika utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa kipindi kirefu akiwepo shemeji yenu.

Nikiwa huko mbali moyo sukuma damu si mengine bhana, nikamuonaga mkaka so handsome, Kuna wakaka halafu Kuna wakaka wazuri then wasafi mashaalah.

Tukazoeana na kuahidiana kupeana mambo baada ya kua kila mtu kavutiwa na mwenzie, usiniulize kwanini nilikua tayari kumcheat jamaa, yule kaka mzuri bhana nikasema to hell mazee tunaishi mara moja acha niuze mechi.

Basi bhana, tukapeana location kipindi nakaribia kukamilisha majukumu yangu huko nilipokua, siku ya tukio ikafika bhana, kaka mzuri akanifata site tukaenda mahala husika, nilipata all the treatment a lady was supposed to get, ukafika mda wa kugusanisha vikojoleo daahhh, kaka mzuri hajui ata romance jamani, kaka mzuri alivamia tunda kama anataka kupigana akapiga tako tatu akavaa nguo ananiambia tuondoke niko na haraka.

Nilitamani kulia na kucheka at the same time, wadada wazuri ulishawahi kupitia haya...?
 
Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, ktk utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa kipindi kirefu akiwepo shemeji yenu...nikiwa huko mbali moyo sukuma dam si mengine bhana, nikamuonaga mkaka so handsome, Kuna wakaka halafu Kuna wakaka wazuri then wasafi mashaalah....

Tukazoeana na kuahidiana kupeana mambo baada ya kua kila mtu kavutiwa na mwenzie,usiniulize kwanini nilikua tayari kumcheat jamaa, yule kaka mzuri bhana nikasema to hell mazee tunaishi mara moja acha niuze mechi....

Basi bhana, tukapeana location kipindi nakaribia kukamilisha majukumu yangu huko nilipokua, siku ya tukio ikafika bhana...kaka mzuri akanifata site tukaenda mahala husika, nilipata all the treatment a lady was supposed to get, ukafika mda wa kugusanisha vikojoleo daahhh, kaka mzuri hajui ata romance jamani, kaka mzuri alivamia tunda kama anataka kupigana akapiga tako tatu akavaa nguo ananiambia tuondoke niko na haraka....nilitamani kulia na kucheka at the same time...wadada wazuri ulishawahi kupitia haya...?
Huyu kukukishingo leo kapotea njia
 
Wale wa tall, dark and handsome sio??
Anyway tako tatu si haba wengine tako 1 tu anakoroma!!
Wanadai wazee wa kazi nzito wana sura ngumu eti
Nilale mie nisijekutwa na watoto hapa
Yaani tako moja tena? Sa inakuaje
 
Ulitaka kutupa big G kwa karanga za kuonjeshwa? Yuko bidada hapa mjini alikua mchepuko wangu, nahudumia kila kitu mpaka petroli. Sasa Kuna siku akakutana na mhuni huko kwenye mihangaiko yake kikazi, jamaa naye ana mke na familia yake, sijui jamaa alimuahidi nini mchepuko wangu, Mimi Sina hili Wala lile naona simu inaita, kuangalia Ni mchepuko, nikadhani Ni maongezi ya kawaida, kumbe mchepuko amepewa maneno ya kuniambia na huyo duwanzi. Mchepuko aliniambia kuanzia muda ule tusijuane kwani ameshachumbiwa na muda wowote ataolewa. Mimi nilimuambia congrats. Akasisitiza Tena kwa msg. Tukapeana kwaheri.
Wiki mbili nyingi naona simu ya mchepuko Tena, anasema Yale maneno niyapuuze kwani alikua amelazimishwa na lijamaa ambalo Lina familia.
Nilimuambia tu aendelee nae mie nishafanya utaratibu wa nyumba ndogo nyingine.
 
Atakua ERoni uyo
Kama sio National Anthem
JamiiForums1953189029.jpg
 
Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, katika utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa kipindi kirefu akiwepo shemeji yenu.

Nikiwa huko mbali moyo sukuma damu si mengine bhana, nikamuonaga mkaka so handsome, Kuna wakaka halafu Kuna wakaka wazuri then wasafi mashaalah.

Tukazoeana na kuahidiana kupeana mambo baada ya kua kila mtu kavutiwa na mwenzie, usiniulize kwanini nilikua tayari kumcheat jamaa, yule kaka mzuri bhana nikasema to hell mazee tunaishi mara moja acha niuze mechi.

Basi bhana, tukapeana location kipindi nakaribia kukamilisha majukumu yangu huko nilipokua, siku ya tukio ikafika bhana, kaka mzuri akanifata site tukaenda mahala husika, nilipata all the treatment a lady was supposed to get, ukafika mda wa kugusanisha vikojoleo daahhh, kaka mzuri hajui ata romance jamani, kaka mzuri alivamia tunda kama anataka kupigana akapiga tako tatu akavaa nguo ananiambia tuondoke niko na haraka.

Nilitamani kulia na kucheka at the same time, wadada wazuri ulishawahi kupitia haya...?
Women mercilessly punish simps.They have to pay exorbitant prices for products others got for free.
 
Nshatongozwa na mkaka mmoja mzuri tu.... nikaona huyu nimepata...sasa bhna siku ya mechi heeeeee......sisikii kitu...ananiuliza mbona huliii.....

Nikajifanya kulia lakini alifanya kamoja...akasema tuoge tuondoke....kimoja nacho kilikua cha shida mpka nikashangaaa huyu anashida gani...

Nikarudi kwa mjaa wangu wakunipelekea moto....nikafurahi mwenyewe...kitu mshedede upo wima...Deo popote ulipo nakumiss sana...

Kuumwa kukanifanya nipotezane na d
Deo wangu...saiv nipo single
 
Pole,that’s life
 
Back
Top Bottom