Moyo sukuma damu.. RIP Bro

Status
Not open for further replies.
Yeah.. I agree with you.. Muraa kupigiwa tena same office afu mtu akatangaza na ndoa.. It's painful.. Bora angehamishwa tu office..

Afu Ukute Una washkaji wa mautani all the time ndo hupumui kabsa
 
Kiukwel mapenz yanaumiza sana hasa kama hivo uliempenda kwa dhati anakujeuka ...ila sio ya kufikia kujitoa uhai, you have a lot to live on, unajitoa uhai kumbe unamuacha yule mmoja ambae ndio angekuja kukufuta machoz na kuish had kufa na kuzikana, ambae yuko somewhere out there waiting for the destiny to bring the two of you close.
Pengine mwanamke uliemtolea uhai she is not worth it, pengine wanagonga cheers na jamaa geto na wanafanya yao ya raha mustarehe.
 
Aliwekeza mjini alepo
 
Unajuwa bana mapenzi ni ujinga sana. Mimu nadhani aalikosa washauri nina imani hakuwahi kupenda kama mimi kufika mahali mwanamke unamtawaza akishusha vitu vyake,kumfulia nguo zake za ndani 6 yrs siku akabadilika nakusema wewe sio dream yake. Mimi nilisimama namshukuru Mungu nilijifunza jambo moja hata ukipoteza vyote bado ipo njia kufikia malengo yangu. Jambo moja kubwa sana nina amini ambalo wengi hawaamini niule usemi unasema kulipiza kisasi kwa wabaya wako sio kujiuwa au kukata tamaa ila kusimama kwa miguu yako nakufanya kazi kwa bidii ukiwaonyesha unaweza. Kukata tamaa nikuwapaushindi wabaya wako. Polen sana
 
Nakumbuka aliyekuwa Dem Wangu alivyonifanyia mazalau..Mda huo Sina hela kabisa dili zilikwama.. Madeni, sipendi kukumbuka.Akaamua kutoka na wenye hela..Akajishirikisha pia na schoolmates wangu na nilichekwa sana.. Miaka miwili Sasa Bado nakaza..Yaan kila challenge Ina mafunzo yake
 
Yeah.. I agree with you.. Muraa kupigiwa tena same office afu mtu akatangaza na ndoa.. It's painful.. Bora angehamishwa tu office..

Afu Ukute Una washkaji wa mautani all the time ndo hupumui kabsa
Kwani ana umri gani? Kwa maana age pia ina husika kwenye kufanya maamuzi ya kipumbavu....
 
Akina mura pamoja na kujitanabaisha kwamba ni majasiri anafikia atua ya kujisuicide..?!!

Tena kwa ajili ya mapenzi,...?!!

R.I.P
 
Damn bruh! It's a digital world, leave your suicidal notes on your social media account(s) so they won't get manipulated.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…