Moyo sukuma damu.. RIP Bro

Status
Not open for further replies.
Ngoja niangalie tarehe, labda ni ile sikukuu ya wajinga
 
amrchukua maamuzi magumu. Ila wenzake wanaendelea kula dunia
 
amrchukua maamuzi magumu. Ila wenzake wanaendelea kula dunia
 
mwisho wake wa kufikiri ilikuwa ni kujiua daaa
 
Mjinga unajiuaa na wanawake ni weng au rose anapapuchi ya dhahabu
 
Kama bado hajajiua afanye haraka ili tumzike leo leo,tumsahau tuendelee na mambo mengine!
 
Huwezi jua labda alikuwa mfanyakazi hewa.. Plus uchumi wa Magufuli.. Lazima tu Utafte breaking point
 
Masha ni kama riadha, ukichoka unakaa pembeni wenzako wanaliendeleza .
 
Kweli mapenzi huumiza lakini kufikia hatua ya kufa kwa ajili ya mwanamke ni UBOYA wa daraja la kwanza. Labda kama kuna kurogana, ila handsome kabisa huyu alikosa nini duniani hapa ambapo hata ukiamua kuwa nao saba ni juu yako. Kwanza mwanamke mwenyewe alikuwa HAMPENDI na akathibitisha hilo kwa kwenda kwa jamaa mwingine. Kilichomuua huyu mura ni fedheha labda. Ila si kosa lake, alikosa mwalimu mzuri wa maisha na mahusiano akayavagaa mambo kwa pupa ni bwana mdogo tu wa 1990.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…