Moyo shida

Moyo shida

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
7,332
Reaction score
9,542
Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.

Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa
 
Kama upo bar hadi muda huu maana yake unaendekeza Anasa mkuu .

Kunywa kias mkuu
 
Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.
Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa
Kukipambazuka wahi hospital
 
Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.
Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa
Jitahidi umuone doktq
 
Hadi sasa unapiga gebe na hujalewa mkuu?
FB_IMG_1753118689062.jpg
 
Jipe dakika 5 mkuu ukae sehemu utulie na uvute kumbukumbu, ni ndugu yako gani wa karibu hasa Mzazi, Shangazi, Mjomba n.k aliwah kukukanya kuhusu pombe. Huyo mtu ushauri wake ndio umekutembelea na unataka kukuonesha Matokeo.

Pombe imekuwa nyingi mwilini hadi moyo unataka kujifunga huo.
 
Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.
Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa
Jione kama hujawahi kuwa na kitu chochote cha thamani duniani maana hujui ulitokea wapi na hata baada ya kufa hujui utakuwa wapi.

Ulikuja duniani mtupu na utarudi mavumbini mtupu, hasara ni roho tu ila vingine vyote ni sawa na kujilisha upepo.

Jiamini ikiwa ulianza na 0 ukapata 1 pia hakuna jipya kukosa 1 ukawa na 0, ukaanza tena na kupata 1 au zaidi ya 1.

Usithubutu kujutia ishu yoyote hata kwa 0.0001% maana jinsi uonavyo mabonde na milima duniani ndivyo maisha hupanda na kushuka wakati wowote.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
ulianza na 0 ukapata 1 pia hakuna jipya kukosa 1 ukawa na 0, ukaanza tena na kupata 1 au zaidi ya 1.
Usithubutu kujutia ishu yoyote hata kwa 0.0001% maana jinsi uonavyo mabonde na milima ndivyo maisha hupanda na kushuka wakati wowote.
Mkuu mboni ZERO unaitaja mara nyingi sana hivyo?
 
Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa
Endelea kufakamia mibia na mibapa mwenzio mmoja tangu juzi hajaamka mpaka leo juzi kala kitimoto za kutosha kafakamia bia za nguvu mixer nyagi na vodka sasa hivi anawahishwa hospital anasema Pressure Imeshuka hali sio hali
 
Mkuu bado upo hapo? Tafuta goma hapo ukalale upump kwa kasi moyo utakaa vizuri.
 
Kitaalamu inaitwa ANGINA sasa kuwa nayo makini ukipata muda nenda hospital saa nyingine huwa inasababisha SUDDEN DEATH maana huwa inatokea Occassionally sio mara kwa mara. pia huleta viashiria vya dalili za presha.
Jali afya yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom