saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Moyo una mifupa?Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.
Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa