Moyo nimeufungua...

mimi na wana-jf wengine, kwani kipi cha ajabu?

Mtu anayejielewa haezi kujibu kama ulivyojibu

angalia tarehe za kujiunga halafu utajua nani ni mgeni wa nani.

Na mzinga wa nyuki ndio wewe? Kwanini nikubusu? Nibaki hapohapo wapi? Nikifanya nini? Kwa lipi hasa? Jibu kuhusu nini?

basi basi hebu tufunikeni kombe mwanaharamu apite jamani, kwa pamoja tumlaani shetani! Daima tubaki salama! :peace: :peace: :peace:
 
harusi yenyewe ndo hii hapa

harusi yake.jpg
 
basi basi hebu tufunikeni kombe mwanaharamu apite jamani, kwa pamoja tumlaani shetani! Daima tubaki salama! :peace: :peace: :peace:

Wala hakuna shida nasty sijipag presha hata maana waweza ukaea legends halaf kumbe still u aint knowing chochooote. mi nimemjibu kama ilivotakiwa na ilivoendana na comment yake kama ngemjibu kwa masham sham si ndo angekenua. Peace sina mda mie hapa ni kicheeeko kwa mbele salok. chezeiya disco kuvamiwa na mmasai tena wanjiroo
 
teh teh teh teh!!! hamcheleweshiiiiii!! kweli mmeamua!! Mentor hongera mwaya!! beibe nasty njoo unsaidie kupga vgelegele!! Catherine mumy mi ntagharamia shoping kuanzia harusi hadi fungate!! aluluulululuhh!! charminglady na Kapipi njoeni mnisaidie kumchagulia gauni huyu mrembo!! weee Asprin wewe!! mentor mim shem wangu wa ukwel sio "shemeji shemeji huku wazma taa" lol
 
Last edited by a moderator:
Abdulhalim kaka maliza hiyo.. Hacha kuwa mkali hivyo,mwenzio beibe nasty anafuraha mwenzake kapata husby
 
Back
Top Bottom