Moyo nimeufungua...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
:A S-heart-2: Malenga kwenu mi naja, furaha muisikie
kuogopa sina haja, nimepata jiko mie
walonletea vioja, chereko mzisikie
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

lipita mingi miaka, na moyo niliufunga
nikaapa sitotaka, moyo wangu hutotanga
kupenda mi sikutaka, ukapera nilipanga
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

nikampata kimwana, uzuriwe hausemeki
mapenzi yake mwanana, nimegota ka kisiki
Catherine lake jina, anifaanye kwa dhiki
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

walishanitenda wengi, Yummy, CUTE, na Meritta
kwako nimeenda kingi, hanitishi Bigirita
moyo umeona mengi, ila kwako umegota
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

wadau nawaalika, harusini mjongee
niliyempenda hakika, leo yupo hapa mbele
tucheze na kukatika, vinywaji na viko tele
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

I love you Catherine...and thanks for the weekend.
I really enjoyed honey, cant wait to see you again!!!
Love you...:A S-heart-2:
 
Congra on your Engagement , we are really lookin' forward to your BIG DAY lots of love and pleasure.
This 's such great newz !
We are all really thrilled wishin' you both Catherine with Mentor a great future together.
Engagement iz the time b'twin bein' two and one .
Ni acknowledge for recognize Beibe Nasty effort's katika kukamilisha this circumstance.
Judgement .
 
amen amen dats my bb mentor n my husband jg natumai keshaongea yote mi nimpiga vigelegele heheheeee kuna mwimbo usemao haiyayaa kuolewa kurudi nyumban kutembea tehteh na hii je walisema haoelewimbona kaolewa walisema hampat mbna kampata.message sent n delivered. Mesahau hii catherine this is for u wifiii twende nyumbaanii wifi yangu karibu mama karibu sana wifi twende nyumbaaaniii
 
na 'sisi' ya kwetu lini? lol
 
:A S-heart-2: Malenga kwenu mi naja, furaha muisikie
kuogopa sina haja, nimepata jiko mie
walonletea vioja, chereko mzisikie
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

lipita mingi miaka, na moyo niliufunga
nikaapa sitotaka, moyo wangu hutotanga
kupenda mi sikutaka, ukapera nilipanga
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

nikampata kimwana, uzuriwe hausemeki
mapenzi yake mwanana, nimegota ka kisiki
Catherine lake jina, anifaanye kwa dhiki
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

walishanitenda wengi, Yummy, CUTE, na Meritta
kwako nimeenda kingi, hanitishi Bigirita
moyo umeona mengi, ila kwako umegota
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

wadau nawaalika, harusini mjongee
niliyempenda hakika, leo yupo hapa mbele
tucheze na kukatika, vinywaji na viko tele
moyo nimeufungua, upendo anipatie!!!

I love you Catherine...and thanks for the weekend.
I really enjoyed honey, cant wait to see you again!!!
Love you...:A S-heart-2:

Nlikuambia tangu zamani hommie Mentor kuwa huyu Catherine mmetoka naye mbali

attachment.php

Hukutaka kunisikia we ukajishebedua na Mamndenyi eti kwakuwa mmetokea kijiji kimoja

attachment.php

Sasa kishakupiga chini umerudi tena kwa Catherine, sasa usifanye tena mzaha... Mie na Hommie Kaizer na bandugu Erickb52, platozoom, wake zangu BADILI TABIA, Yummy na cacico chini ya usimamizi wa Kongosho na wife ya homiie Kaizer gfsonwin tutakuandalia boooonge la harusi.

attachment.php

Bi King'asti atasimamia mapambo.

attachment.php

Sasa vile vikina princess enny, charminglady na Kipipi uachane navyo kabisaaaaa!!

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ndo hivyo tena, Catherine ndo kishaamua kuacha ukapera.. (acha kukodolea macho chuchu za watu bana)

article-0-0DEB0EEE00000578-126_468x412.jpg

wee sikuwez bana, labda nitafute timu inzani ya chicago ndo utakuwa mnyonge hihi hivi unaturingia sana na performance yako. smash utafikir javellin?
 
Ndo hivyo tena, Catherine ndo kishaamua kuacha ukapera.. (acha kukodolea macho chuchu za watu bana)

article-0-0DEB0EEE00000578-126_468x412.jpg

mchekeni hahahahaaaa mzomeeni uuuuuuyooooo huna haya wewe sa kinachokufanya utapike nin we kama ulishindwa mentor kaweza haijalishi uwe wa kwanza wapil huna chaaako ungekuwa wamaana mtoto cathe angekukimbilia lakin ndo kwanza kachangaya mbaliga kwa mentor my kaka.
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa!!!! Haya bana, naona swaumu imekushinda.

attachment.php

ngoja nimalize mfungo nikutafute uone kama chicago hukuiama. najifua mazoez ya nguvu kuanzia kesho napokea mchezaji mzuri saka ughaibuni so nitapata ma teknik makali ya smash aisee na hasa ya nafasi ya senta.
 
Bi shosty mbona jinsi ulivo na maneno yako haviendani?

attachment.php

jamani uwiiiiiiiiiiiiiiii nimeifungua hii picha mbele ya mwanangu kameniambiaje wajua huyu simpendi mama eeh! khaa nikawa mpole nikamuuliza kwanini? akasema ni mbaya kama siyo mtu lol! mbavu sina hapa.
 
Hahaha! Nimecheka hadi nimepaliwa! Nisije nikaharibu swaumu kwa kutapika daku yangu. Asprin umelogwa wewe! Unajua mie ni Miss Mbagala 1992?
 
Last edited by a moderator:
Wewe na nani?
mimi na wana-jf wengine, kwani kipi cha ajabu?
Unajielewa wewe?
mtu anayejielewa haezi kujibu kama ulivyojibu
Au mgen hapa
angalia tarehe za kujiunga halafu utajua nani ni mgeni wa nani.
au unajaribu kubusu mzinga wa nyuki hebu naomba ubaki hapo hapo halaf mpaka badae utapata jibu.
na mzinga wa nyuki ndio wewe? kwanini nikubusu? nibaki hapohapo wapi? nikifanya nini? kwa lipi hasa? jibu kuhusu nini?
 
Back
Top Bottom