Afu una kesi kubwa na mimi ujue ooh lol
"The greatest happiness of existence is to love and to be loved"
But ni afya zaidi kuanza kujipenda wewe mwenyewe kabla ya watu wengine hawajaanza kukupenda. Na sio muda wote watu watakupa furaha unayoitaka, so it's better ukajifunza kujipa furaha wewe mwenyewe
Tunawish sana kupenda na kupendwa na wale tunaowataka, but ikitokea hakuna mtu anayekupenda in return, au hawajali ule upendo wako, utafanyaje? Utalazimisha watu kukupenda?, hell no. Afu ukijua kujipenda pia ndo unajua na thamani yako na ya furaha yako. So mtu akikuzingua unamuangalia tu afu unamcheka coz there is no way utaruhusu mtu apoteze furaha yako kwa kukutreat anyhow. You simply deserve to be happy, whether upo single au una mtu. Happiness is a choice
Utaishia kudanganywa.... kama huamini basi
Teh na kwa nini usiniwezeMmmhhh wewe mimi ntakuwezea wapi....haya niambie hiyo kesi yangu ni ipi
Teh na kwa nini usiniweze
Kesi yangu ni kwamba niliweka order ya keki tangu mwaka jana lakini hadi na mwaka huu kimyaaaa
Teh nikajua labda upo busy na kuchana mbao. Wasalimie sana wajukuuJamani....si unajua tena wajukuu wakishakuwa wengi na majukumu yanaongezeka
Jinsia yangu dada
Teh nikajua labda upo busy na kuchana mbao. Wasalimie sana wajukuu
Hahaha ndiyo,Kwa hiyo ilishapita?
Pole sana ila Kwa nini basi usianze kumtongoza huyu (siku hizi akinamama nao ni watongozaji wakubwa ati) ili amalize UH yako?++++++https://www.jamiiforums.com/mahusia...-ataka-nimshirikishe-kila-nitachokifanya.html
Hahaha ndiyo,
Learning to love yourself,
It is the greatest love of all
Mbona ndege inabadili gia angani sembuse weye. Jaribu utaona na mapenzi yatadumu mamito. Dunia ni kujaribu na mapenzi ni hisia tu chongo unakigeuza kuwa kengezaKwa mazingira niliyokAa nae tangu nimfaham siwezi mfanya mpenzi
Naona unaanza kuwa na hisia. Fumba macho mfikirie utaanza kumpenda. Kumbuka mwanamke huwa hapendi bali hupendwa. Aisee ana dushe zuri hilo utapenda mamito. Jioni hii mwandikie ujumbe 'I miss U darling' utaona.Kotelyimola hapana bwana sina hisia nae
Naona unaanza kuwa na hisia. Fumba macho mfikirie utaanza kumpenda. Kumbuka mwanamke huwa hapendi bali hupendwa. Aisee ana dushe zuri hilo utapenda mamito. Jioni hii mwandikie ujumbe 'I miss U darling' utaona.
Hakuna mwanaume anayeweza kujivunga katika k bwana tusitaniane!!!!! Alikuwa anakutania ila moyoni anajisemea kuwa nitampata lini. Jiongeze mamitoAigoooo, Una nini lakni, simpendi hata yy hanipendi maana kishawahi Nambia hivyo,
Hakuna mwanaume anayeweza kujivunga katika k bwana tusitaniane!!!!! Alikuwa anakutania ila moyoni anajisemea kuwa nitampata lini. Jiongeze mamito
Acha hizo mpende akupendaye na akupendaye ni huyo. Kiss him good nightYule hapana na wewe hujui chochote kuhusu yeye usimpigie debe, nielewe mpendwa wangu, nishauri kingine
Acha hizo mpende akupendaye na akupendaye ni huyo. Kiss him good night