habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Hahahahahas pole sana, hakikisha unatafuta wimbo wa Whitney Houston unaitwa THE GREATEST LOVE OF ALL
yasome yale mashairi vizuuuuri sana na ujitahidi kumwelewa! Kumtegemea mtoto wa mwenzio akupe raha utaishia kuishi maisha ya ku pretend ambayo yanaumiza zaidi kuliko kama ungeishi kwa uhalisia wako.
Ww mke mume mbona sielewi km mke tuwahi fursa tuanze na mtoko kesho nyama choma.
Ila tafuta tu utafanikiwa usivunjike moyo
Kiti moto au mbuzi maana za ng'ombe nimesikia zina shida si Salama sana kwa matumiz ya binadamu
Learning to love yourself,Hahahahahas pole sana, hakikisha unatafuta wimbo wa Whitney Houston unaitwa THE GREATEST LOVE OF ALL
yasome yale mashairi vizuuuuri sana na ujitahidi kumwelewa! Kumtegemea mtoto wa mwenzio akupe raha utaishia kuishi maisha ya ku pretend ambayo yanaumiza zaidi kuliko kama ungeishi kwa uhalisia wako.
Je, huyu mlimwagana+++https://www.jamiiforums.com/mahusia...anaume-wa-kibongo-kuliko-mwanaume-mkenya.htmlNina tamani walau siku moja moyo wangu upate kutulia, nimpate wa kunienzi, airejeshe furaha yangu ilopotea kwa miaka mingi, authamini moyo wangu, japo kidogo na mie nihisi nipo kwa hii dunia kwenye ulimwengu wa mapendo moyoni mwangu nipate kufarijika, hakika moyo wangu mpweke unahitaji kutulizwa:
Learning to love yourself,
It is the greatest love of all
Teh me nimempa tu muongozo. Lazima apitie wimbo wote ili apate message nzimaHahahahhahaa umeshampa jibu wakati nilimpa homework. Learning to love yourself.... out of that ni uongo
Hapo kwenye kitimoto sipo ni mwendo wa mbuz taja jinsia mkuu isije kuwa kessy kumbe kidume mwenzangu
Learning to love yourself,
It is the greatest love of all
Hahahahhahaa umeshampa jibu wakati nilimpa homework. Learning to love yourself.... out of that ni uongo
Afu una kesi kubwa na mimi ujue ooh lolAcheni kutudanganya...anahitajika mtu wa kukupenda pia hata kama na wewe unajipenda
Nina tamani walau siku moja moyo wangu upate kutulia, nimpate wa kunienzi, airejeshe furaha yangu ilopotea kwa miaka mingi, authamini moyo wangu, japo kidogo na mie nihisi nipo kwa hii dunia kwenye ulimwengu wa mapendo moyoni mwangu nipate kufarijika, hakika moyo wangu mpweke unahitaji kutulizwa:
Acheni kutudanganya...anahitajika mtu wa kukupenda pia hata kama na wewe unajipenda
Pole sana ila Kwa nini basi usianze kumtongoza huyu (siku hizi akinamama nao ni watongozaji wakubwa ati) ili amalize UH yako?++++++https://www.jamiiforums.com/mahusia...-ataka-nimshirikishe-kila-nitachokifanya.htmlTangu wakati huo maana nilishindwa