Utasolve na asiyekuhitaji , miaka 5 analala mzungu wa nne? Si afadhali ukalime matikiti gairo.
Wakati mwingine bora hata mlevi utasema huyo akili yake imechanganywa, kuna wale anafanya makusudi kumnyanyasa mwenzie
Ni afadhali mchawi kwakweli maana ukiliita jina la YESU haruki lazima alale