Moyo mpweke natafuta mume

Hao watt uliwapata kwa kufanya ngono? Access ya baba zao itakuaje kwa kile kinachoitwa "kuja kuwasalimia watoto?"
 
Hujitambui wewe, au utoto unakusumbuwa!!....

Asichojitambua nini??
Inaelekea ni mtoto mwenzio ndio maana mnajuana.
Mtoa mada anasema ana watoto wawili bila kufafanua wa baba moja ama baba tofauti, Shark hapo juu amejaribu kuliongelea hilo, unakurupuka na mauduvi yako mdomoni ya pombe za jana na kuanza kupost utumbo!!
 
Ni utoto tu ndio unaokusumbuwa ndio maana hakuna unalolielewa, hapa natalajia muhisika atanijibu swali nililomuuliza maana yeye atakuwa anafahamu vyema ni kwa nini nimemuuliza hilo swali, ila madomo bwabwaja kama wewe ni sehemu ya washereheshaji tu hapa JF, kwahiyo ni watu muhimu muwepo hapa maana hakuna Great Thinker kama hakuna mazuzu.
 
sasa dadangu umeshazaa mara mbili na bado unaweka masharti magumu hivyo?? Hauoni kwamba you are being unfair??

Na kwa umri huo huoni kwamba choices zinakua limited?? Na wazuri wengi wanakunywa pombe?

Angalizo: Sijasema kuzaa ni kubaya....
endeleeni kupiga kelele hapa sie tumishatuma maombi
 
unajzba..humo ndani kutakalika kweli??? afunaonekana una gubu..mwee!:israel::israel:
Watu wenye maono madogo hawakuelewa ni kwa nini nimeuliza Baba wa hao watoto wawili yuko wapi? atleast wewe sasa unafahamu logic ya swali langu.
 
:bump2::bump2: qwa qwa qwa..na jibu angelitoa linge justify ye ni mtu wa aina gani ndo mana kaacha kuijibu swali kwa busara kaongozwa na jazba!!
 
Nipo tayari kukuchangamsha as najua kuchagamsha ni wito wangu toka damuni!
 
Ni utoto tu ndio unaokusumbuwa ndio maana hakuna unalolielewa, hapa natalajia muhisika atanijibu swali nililomuuliza maana yeye atakuwa anafahamu vyema ni kwa nini nimemuuliza hilo swali, ila madomo bwabwaja kama wewe ni sehemu ya washereheshaji tu hapa JF, kwahiyo ni watu muhimu muwepo hapa maana hakuna Great Thinker kama hakuna mazuzu.

Matola kwa nini wewe ni mtu wa ligi sana?
 
:bump2::bump2: qwa qwa qwa..na jibu angelitoa linge justify ye ni mtu wa aina gani ndo mana kaacha kuijibu swali kwa busara kaongozwa na jazba!!

kama ungekuwa una maanisha swali ulilouliza ungenitafuta kwa wakati wako ujue baba watoto alipo ila kwa kuwa unajoke ndo mana nilikujibu hivyo so sorry kwa kukukwaza nicje kufungwa jiwe shingoni na kutupwa baharini
 
Ni utoto tu ndio unaokusumbuwa ndio maana hakuna unalolielewa, hapa natalajia muhisika atanijibu swali nililomuuliza maana yeye atakuwa anafahamu vyema ni kwa nini nimemuuliza hilo swali, ila madomo bwabwaja kama wewe ni sehemu ya washereheshaji tu hapa JF, kwahiyo ni watu muhimu muwepo hapa maana hakuna Great Thinker kama hakuna mazuzu.

Mhhhh, yamekuwa hayo tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom