Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

Endelea kushangaa hivyo hivyo mdogo wangu ukikuwa nawe utayaona japo hutayaona kama yangu maana mie ni Kasie nawe ni Eli, kuchagua ni kuishi mwaya namshukuru maulana kila siku ipitayo tabasamu halikauki usoni mwangu. 🙂


Na iwe hivyo kama uonavyo..... Amen!!
Nafurahi kusikia hivyo sista! Ishi uonavyo wewe, I was just trolling with you, coz hata interest na music wa vijana sina.
 
Maandishi ni sawa na sauti tu maana zote watu wananukuu tuu. tafadhali sema neno na roho yangu itulie

Aaamen!! ngoja wakati ufike
upload_2016-11-8_15-31-32.jpeg
 
Mziki wetu wa kizazi kipya also known as Bongo fleva naona umekua sana na unazidi kuchanja mbunga, siamini hata nyie wakongwe mnaupenda kiasi hichi..
Hongera sana [HASHTAG]#Ben[/HASHTAG] Paul
Ww sijui sababu za kukupenda, ila utaooona
Moyo mashine, ila majibu ya upendo ushakosaga
Ukipenda usishangae ni upofu wa moyo
 
Wakati ni huu sasa hakuna wakati mwengine tena.

au wewe unadhani kuna wakati zaidi ya huu?

Kwakweli wakati ni sasa maana hatuijui kesho na jana ni historia,
images
cheers
 
Kwakweli wakati ni sasa maana hatuijui kesho na jana ni historia,
images
cheers

Kumbe unalitambua hilo? kwanini sasa unakuwa na moyo mgumu kiasi hicho? tafadhali sema neno moja tu na moyo wa wambeke utulie
 
Hahahahahhahaaa looh wacha nikuimbie basi...

(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosa
(Acha waseme) Nimekupendea nini
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosaga
(Wacha waseme) Nimekupendea nini.
dah we mzee unanifurahishaga sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom