Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

Moyo mashine.

Hahahahahhahaaa looh wacha nikuimbie basi...

(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosa
(Acha waseme) Nimekupendea nini
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosaga
(Wacha waseme) Nimekupendea nini.
 
Nadhani umepata majibu ya swali lako ulilo niuliza
 
Hahahahahahahaaa weeweee naendelea kuimba looh...

Najua ulinizungusha sana
Sijali huwa ni mambo ya ujana
Kukupenda wewe sijuti
Maneno yalisemwa mengi sana
Kuna wakati nilikata tamaa
Kukupenda wewe sichoki iiiiiiimooooooooo

Moyo mashine ya kusukuma damu na si vinginevyo heheheheh
 
Hakika sitachoka kukupenda
 
Hakika sitachoka kukupenda

Woow hakuna asiyependa au kufurahia kupendwa.... hasa ukijua kuwa unapendwa. Narembuaje macho hapa heheheh utasema nimetekenywa sikioni na nyoya la kuku.

Asante mwaya kunipenda nami narudisha mapendo kwako mwaah!

Zamu yako sasa kuimba hata kama ni besi au sauti ya 8 heheheh
 
Kila nikijaribu kuimba nashindwa.

Hasa nikisoma kule juu alichofanya Sam jana aah na sauti ya kuimba inagoma kabisa nabaki kigugumia tuu.

Najuuta kwanini nimefungua huu uzi leo wakati niliuona toka jana nkajifanya kuupita. aaah kweli moyo mashine.
 
Hahahahahaa basi usiendelee kusema maana watakukasirikia watu humu wa kiume watachukia kuwa unawaaibisha kumzimikia kibibi Kasie wakati damu change bin ngozi nyororo zimejaa tele humu.

Watu wa kike watakukasirikia kwanini roho ikuume kwa kizee Kasie wakati wao wapo wanadai. Na wengine wataku PM kukutukana, mwaya usiendelee kusema hapa usijetengwa buree kisa Kasie ukakosa kampani ya kuambatana nayo kuelekea mpirani.

Halafu historia ya Sam huijui? Ndo yule aliyenisaidia club pale nilipotaka kuchukuliwa na watu nsio wajua baada ya kuniwekea dawa kwenye maji ya kunywa. Usihofu juu ya Sam.... hana matata.
 
Mvumilivu hula mbivu ila akivumilia sana huambulia bidhaa ya kutemgenezea pombe...
Mzee mwenzangu karibu tupige show ya kibabe, hawa .com wazituzingue bana. Nitakuimbia nyimbo za santuri siyo hizi sijui cd DVD.
 
Hahahahahaa basi usiendelee kusema maana watakukasirikia watu humu wa kiume watachukia kuwa unawaaibisha kumzimikia kibibi Kasie wakati damu change bin ngozi nyororo zimejaa tele humu.

Watu wa kike watakukasirikia kwanini roho ikuume kwa kizee Kasie wakati wao wapo wanadai. Na wengine wataku PM kukutukana, mwaya usiendelee kusema hapa usijetengwa buree kisa Kasie ukakosa kampani ya kuambatana nayo kuelekea mpirani.

Halafu historia ya Sam huijui? Ndo yule aliyenisaidia club pale nilipotaka kuchukuliwa na watu nsio wajua baada ya kuniwekea dawa kwenye maji ya kunywa. Usihofu juu ya Sam.... hana matata.

Historia yake (Sam) siijui ndio maana roho imeniuma jana kunimegemea bibi kizee wangu.

Tatizo langu sijawahi kusema huwa nasemea moyoni sasa leo uvumilivu umenishinda imebidi nioneshe masikitiko yangu ni kiasi gani moyo wangu umemia.
 
Hatari sana maana kuna mtu hapo amekuwa mfungwa tena mjinga na amejipeleka gerezani halafu hakuwaza kama atakuwa mateka! hatari mno!

Aiseeh mpe pole sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom