For real, hilo nalo ni tatizo kwa hawa wanamuziki wetu. B.classic amejifumbata kwa makaburu wa clouds wanamnyonya tu hata hakui.Inabidi pia kuwa na spirit ya ujasiriamali wa music kama Dai pia lol + management ya uhakika
To be honest wasanii wengi under clouds wana talents za hatari, ila ndo huo ukaburu. Na wale clouds kujitoa kwao mmmh jipange haswaaaFor real, hilo nalo ni tatizo kwa hawa wanamuziki wetu. B.classic amejifumbata kwa makaburu wa clouds wanamnyonya tu hata hakui.
Ukijitoa ndio kifo chako, wanaua vile vipaji vikali hivi hivi!! So sadTo be honest wasanii wengi under clouds wana talents za hatari, ila ndo huo ukaburu. Na wale clouds kujitoa kwao mmmh jipange haswaaa
Wamuachie tu barnaba wangu bana, wanamlostisha tuUkijitoa ndio kifo chako, wanaua vile vipaji vikali hivi hivi!! So sad
Kweli mr, wimbo kama .... tunakulaga... Sasa ndio ujumbe gani kwa jamii? Duuu hii basata hiiJamaa napenda nyimbo zake...anasikiliza mzee..mama..kijana...mtoto...babu...bibi.
Kuna nyimbo zingine haziangaliziki sebuleni na watoto
Aaah bora urudi ujanani, field marshallSiku hizi nasikiliza...cd player yangu kwenye gari imekufa so ni clouds fm kwa kwenda mbele!
Tunajuajua au tunajua?Nimegundua hutu tutoto tunajuajua kuimba!
Kumbe kuna wakati unajificha huku!!Tunajuajua au tunajua?
Teh kwani umenitafuta wapi?Kumbe kuna wakati unajificha huku!!
MMU na JLKTeh kwani umenitafuta wapi?
MMU ndo home, nipo tu sanaMMU na JLK
Ndo maana nikashangaa upo jukwaa la entertainment!!MMU ndo home, nipo tu sana
Napita majukwaa mengi tu. Ila MMU ndo sanaNdo maana nikashangaa upo jukwaa la entertainment!!
Mwe mwe mwee
Lile la wakubwa huwa unapita?Napita majukwaa mengi tu. Ila MMU ndo sana