For sure, kipaji kitamu namna hii sio vyema kikapotea hivi hivi.Inabidi awe zaidi ya mwanamuziki ili afanikiwe.
hyuu dogo unamjua?Wengi nawakubali
Ali Kiba,WCB....
katika wasio hit sana namkubali anaejiita 'future'
na Steve RNB
Japo hujani directia mimihyuu dogo unamjua?
naupenda sana watu wanamjua diamond na kiba tu kuna madogo wanapiga tu music mzuriJapo hujani directia mimi
Lakini
Huu wimbo huwa nna ufeel ile mbaya
angeimba diamond huu au moyo mashine sijui ingekuwaje?Japo hujani directia mimi
Lakini
Huu wimbo huwa nna ufeel ile mbaya
Bonge ya song
Naskia alitungiwa lakini
Naomba nijuzwe nani alimfanyia project kali hivo!!?
*namkubali sana ben pol
Jamaa mmoja hivi hua anamtungia na more music pia.. jina limenitoka.. Then uzuri Ben hua ananunua mashairi kama akiyapenda.. Hata wewe ukiweza kuandika vizuri unaweza kumuuzia..Bonge ya song
Naskia alitungiwa lakini
Naomba nijuzwe nani alimfanyia project kali hivo!!?
*namkubali sana ben pol
Mi mwenyewe nilishangaa kiwa huu wimbo haukupewa heshima yake inayo stahili.naupenda sana watu wanamjua diamond na kiba tu kuna madogo wanapiga tu music mzuri
Nashukuru mkuuJamaa mmoja hivi hua anamtungia na more music pia.. jina limenitoka.. Then uzuri Ben hua ananunua mashairi kama akiyapenda.. Hata wewe ukiweza kuandika vizuri unaweza kumuuzia..
ndo maana hatufili maana tunashabikia vitu visivo reak kama ule wimbo wa domo na p square eti una uzuri gani?Mi mwenyewe nilishangaa kiwa huu wimbo haukupewa heshima yake inayo stahili.
Tumeng'ang'ania hawa wenye drama nyingiii, hatujali madogo wengi tuu wanao piga 'muziki mzuri '(in dullah's voice)
Aaahndo maana hatufili maana tunashabikia vitu visivo reak kama ule wimbo wa domo na p square eti una uzuri gani?
ni mzuri ila sio kiivo watu walivoushobokeaAaah
Ule mi naona mzuri, ila si uabudu
Pia napenda kujipa nafasi ya kusikiliza wasanii wengne wanao piga kazi fureshi