Moyo Mashine....

Moyo Mashine....

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,774
Reaction score
129,531
Juzi kati nilikuwa nasikiliza redio nikasikia huu wimbo 'moyo mashine' nikajiuliza ni nani huyu anajua kuimba hivi. Kutafutatafuta nikaona jina Ben Pol, nishalisikia ila nikajiuliza wombo huu angepiga Diamond mjini pangekalika hapa?!!

Maanake kila siku nasikia Diamond....Dangote sijui nini na nini kumbe kuna vijana wengine wanajua kuimba namna hii!!!

NB: Sina timu jamani msianze kunishambulia, nimependa tu kazi ya huyu kijana. sio utani watoto wa siku hizi wanajuajua kuimba.

 
Nyimbo nzuri sana.
Kupitia nyimbo hii Ben Pol amepata na anaendelea kupata mafanikio makubwa kiasi amesema hata akikaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo.moyo mashine itaendelea kumlipa
 
Hata mimi nilistaajabu lakini ndicho alichokizungumza wiki zilizopita kwenye enewz ya eatv. Alisema yupo biz na mambo mengine kwani moyo mashine imemfungulia bingo nyingi
Ukifanya kitu kizuri kinakubalika tu...so far moyo mashine imekuwa anthem.
 
Sijui why sijawahi kum feel huyu msanii...
sijui why.....
Katika wasanii wetu unamkubali nani...huyu dogo nyimbo hii ndio nimeikubali..nilipoisikia nikajiuliza 'who is this?'
 
Sio siri huwa ananikosha sana, kwenye Kilimanjaro Music awards ya mwaka jana (kama sikosei) alinifurahisha sana, alipiga live, sauti kama imechujwa.
Inabidi awe zaidi ya mwanamuziki ili afanikiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom