monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,487
- 13,017
Nimekuelewa!Wanyama pori pamoja na utamu wao wote Huwa tunawawinda kwa ajili ya kuwala sio kufuga ili kuepukana na adha ya kuwafuga
Ukijitia kuwafuga basi wawindaji watakuja kuwawinda kwny Banda lako badala ya kufuata porini