"MOYO MASHINE" [emoji180][emoji307]

monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
4,414
Points
2,000
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
4,414 2,000
Wanyama pori pamoja na utamu wao wote Huwa tunawawinda kwa ajili ya kuwala sio kufuga ili kuepukana na adha ya kuwafuga

Ukijitia kuwafuga basi wawindaji watakuja kuwawinda kwny Banda lako badala ya kufuata porini
Nimekuelewa!
 
Son.j

Son.j

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
373
Points
500
Son.j

Son.j

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
373 500
Wanaume siku zote tutumie ubongo kupenda
Moyo tuuache uendelee na kazi yake tuuuuu..
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,695
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,695 2,000
Duh njemba tatu zinagombania shimo moja wote waingie kwapamoja kwanini asiingie mmojammoja?
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
4,014
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
4,014 2,000
Unazimia kwa ajili ya demu mwanaume kama huyu yupo half half ana roho nyepesi sana hawa ndio wanaogopaga mende
 

Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top