livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 952
SALAAM WAKUU.
*Aisee moyo mashine wazee!!!
♡Kwanza nilikuwa siamini kama bado kuna watu wanazimia kwa stress za fumanizi.
☆Kuna jamaa yangu (tunafanya kazi pamoja) nilipigiwa simu j.3 jioni amelazwa hospitali, nikaja kumuona j.4.
♧Kufika pale ananiambia alimfuma demu wake (ambaye nami namjua) yupo na jamaa mwingine. Wakati anamgombeza akafika jamaa mwingine nae akasema ni demu wake.
☆demu anaulizwa vipi hii changanya changanya...akajibu anawapenda wote na hayupo tayari kuwaacha huku anatoa mchozi.
♤demu akazimia na jamaa akazimia hapo hapo hao wengine wawili haijulikani.
♡baadae babake na demu si akaja bana, kumbe demu wa kishua (pesa ipo) jamaa ameambiwa subiri utaona mwanangu akitoka hapa hospitali.
Mzee akaondoka zake....mda kidogo meseji ikaingia kwa jamaa demu wake anamwambia "NAOMBA USINIACHE NTAKUFA MPENZI WANGU" jamaa kaduwaa tu. Mbaya zaidi demu anapajua kwa jamaa (anapoishi) na kwao jamaa.(wanapoishi wazazi)
Saivi jamaa amerudi nyumbani kwao kwanza kwa sababu hajui nini kinaendelea upande wa pili.
Amenitaka ushauri mpaka leo sijamwambia kitu wakuu.