okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
- Thread starter
- #21
Kuna vitu vingi vya kuangalia pia kama, umri, lifestyle, kazi unayofanya, uzito. Ungetoa picha halisi ingekuwa rahisi kushauriwa, sasa hivi watu wanaguess tuu wakati labda ni uzito au unahitaji mazoezi tuu, huo ni mfano
Mkuu Mimi mwalimu Nina miaka 32 uzito wangu ni 60kgs life style yangu ni ya kawaida sana