Moyo kuuma na kuishiwa pumzi

Moyo kuuma na kuishiwa pumzi

Mi pia nina hilo tatizo, mapigo ni tulivu ila kuna wakati napata mild pains upande wa kushoto wa kifua ambapo ndipo kuna moyo, naskia kama moyo unakandamizwa taratibu kisha unaacha! Nilishaenda hospitali kucheki HB, Pressure na vipimo kadhaa vinavyohusiana na moyo ila nikaambiwa niko fiti! Sasa sijajua ni nini nimecheki sukari pia sina, basi nimeamua tu kuishi katika imani kuwa niko sawa tu ila ni kitu kinanitokea mara kwa mara!
 
Umejaribu kupima Echo test na Ecg mkuu kwa ajili hasa ya kuangalia moyo vizuri
 
Mi pia nina hilo tatizo, mapigo ni tulivu ila kuna wakati napata mild pains upande wa kushoto wa kifua ambapo ndipo kuna moyo, naskia kama moyo unakandamizwa taratibu kisha unaacha! Nilishaenda hospitali kucheki HB, Pressure na vipimo kadhaa vinavyohusiana na moyo ila nikaambiwa niko fiti! Sasa sijajua ni nini nimecheki sukari pia sina, basi nimeamua tu kuishi katika imani kuwa niko sawa tu ila ni kitu kinanitokea mara kwa mara!
Mkuu hizo ni dalili za ulcers vidonda vya tumbo na acid nyingi tumboni
 
kiukweli hivyo vipimo sijavifanya mkuu
Mkuu ni vigumu kujua mtu anasumbuliwa na nini mpaka kupima ila kwa dalili unazosema inaweza ikawa kweli ni tatizo la moyo ama acid reflux hata cholesterol inaweza kuwa ipo juu kwenye blood ..ushauri fanya vipimo hivi:Ecg,Echo, Endoscopy na Cholesterol level naamini utapata ufumbuzi
 
Mm niliwah kuwa hivyo ila nikaanza kufanya mazoez ya kukimbia na kunywa maji mengi yan lita tano kwa siku nikajikuta nimekaa sawa..hebu jaribu mm nilivyokua na hilo tatizo nikajihisi inawezekana mafuta yamezidi ndio nikaanza zoez mdogomdogo nashukuru nikawa ok kwenye mambo mengi tu..ukishindwa zoez jitahidi maji mengi sana..yan maji kunywa kama bia kidogo kidogo tu mpaka unajikuta umetimiza lita zinazohitajika..hebu jaribu huku unaendelea kufanya vipimo ila mm sikwendaga hospital yyte nilijiamulia tu
 
Jaribu kupima na Uwingi wa Damu Mkuu (HB) damu inaweza kuwa juu sana au chini pia.

Pia kuna kitu tunaita Angina Pectoris huwa inaambatana na maumivu makali sana ya kifua

Ujitaid kunywa Maji kwa wingi pia unaeza kuta damu ni Nzito Sana hivyo Moyo hutumia Nguvu kubwa kusukuma damu kwenda Sehemu nyingine za Mwili

Pia nature ya Mazoezi unayofanya baadhi ya Mazoezi Hutanua misuli ya Moyo (Hypertrophy) jaribu kuchunguza aina ya mazoezi unayofanya Mkuu
Sasa mkuu kama damu ni nzito unashauri dawa gani maana hata mimi hyo hali ninayo
 
Nakushauri nenda muhimbili Kwa maspecialist bingwa wa moyo ..warudie vipimo na kuongezea vipimo vingine kama colestrol etc...Kama uko na mwili mnene sana acha pombe na vyakula vyenye mafuta na punguza wangapi...fanya mazoezi mepesi ya pumzi kutoka
 
Back
Top Bottom