okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
Wapendwa amani ya Bwana iwe nanyi. Naomba msaada wenu tafadhali juu ya tatizo hili la moyo kuuma na kwenda kasi zaidi nawakati mwingine kushindwa kupumua.
Nimeshapima presha na kuonekana iko katika hali nzuri nabaada ya hapo nilifanya kipimo cha ECG kwa wataalamu watakifahamu kipimo hiki. Lakini bado majibu yalionesha kuwa sina tatizo lolote lile, mpaka sasa sijui nifanyeje au kuna kipimo kingine ambacho naweza kupima ili kuweza kupata chanzo cha tatizo,
Tafadhali sana wapendwa wana jf nisaidieni kwani mpaka sasa nimeshakata tamaa, Mungu awabariki sana.