Alma89
Member
- Apr 14, 2014
- 20
- 3
Habari wana jamvi la MMU,
Mimi huwa ni msomaji tu lakini leo naja kwenu nipate mawazo yenu. I was in a serious relationship for about three years na mtu niliyekuwa nikimpenda sanaaaa.
I was so relaxed and comfortable nikijua safari yetu inaelekea kwenye ndoa lakini mambo yalikuja kugeuka ndivyo sivyo na niliishia kuumizwa sana baada ya kugundua siko peke yangu.
Msamaha niliombwa mara kadhaa but mambo hayakubadilika.Mwisho wa siku niliamua kulivua pendo. Nakuja kwenu nikiomba mnipe mbinu za kumsahau huyo jamaa na kuendelea na maisha yangu.
It's been almost four months hivi, lakini bado nina maumivu. Najitahidi kujichanganya na watu, flirting with some guys lakini wapi.Yaani hata niwe happy vipi nikikumbuka tu mood inaharibika.
Mliopitia similar situation naomba mnipe mawazo yenu on how to move on.